Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Mjomba si ni wa kiume au kuna wajomba wa kike siku hizi? Halafu mtoto wa kike akifika chuo anakua anajitambua na anajua anachofanya ndio maana hawawekewi fence chuo
Mjomba ni wa kiume ila kibongo bongo wengine tumezoea hata mtoto wa dada kumwita mjomba, na hata kama kafika chuo na anajitambua haimaanishi kila atakachofanya atakua sahihi
 
Kwanza unajua neno kubaka? Tuanzie hapo.
Wewe mbakwaji ndio unajua maana ya kubakwa ndio sababu unatafuta kubakwa kwa hio toa maana wewe mwenyewe yaan unavaa kubakwa bakwa alafu unategemea usibakwe? Utabakwa tu hata kwa kutongozwa siku ukikubari mchezo ndio siku utakayobakwa hio unaingiziwa kinguvu nguvu hadi unauliza hiki nini 🔥
 
Nishamla mtoto wa aunt kwa Sabab alinionesha upaja wake,na heshima ikaongezeka,mwaka 2023 watu tupo serious sana ,hatuhitaji majaribio
Hahahhaha.. heshima ikaongezeka sio.. sema mtoto wa aunt ni ndugu wa mbali kidogo si ni binamu uyo mbona makabira mengine wanaoa kabisa
 
Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?
Vijana wenye vinasaba na upinde wakijaribu kujifanya gentlemen. Hakuna Mwanaume wa Kiafrika mzima wa afya ataona paja au chupi ya mwanamke mshedede usisimame
 
Kwani kuvaa nusu uchi ni jadi ya wazungu au waafrika? Jaribu kusoma na kuulizia vizuri. Mababu waliozaa baba zako walikuwa wanaishi na wanawake walikuwa wanakaa nusu uchi. Kukaa nusu uchi ni jadi yetu. Nguo tumeanza kuvaa juzi juzi tu.
Kipindi hicho sio sasa, kipindi hicho ukifika miaka 15 kijana unakua ushavuka balehe unapewa mke na wazee unaendeleza ukoo na ukijisikia unaoa idadi unayoitaka wewe ukitaka 10 15 20 wewe tu oa tia mimba saa ngap utawaza paja wakati kila boma una mke? sio km sasa 35+ kijana bado hajaoa na hana muda wa kufikiria kuoa, jua kutofautisha mkuu
 
Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?
Sio kila kilichokua kinafanyika zamani basi ni sawa uko zamani walikua wanatoa kafara za binadamu na ni kitendo ambacho kilikua kinakubalika kabisa kwenye jamii je na sasa hivi tufanye ivyo. Kwa sababu za kimaumbele mwanamke anapaswa kujistili, kuona sehemu nyeti za mwanamke alafu isipeleke ujumbe wowote kwenye ubongo bila shaka wewe utakua shoga
 
Ishu sio kusimama hio ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali ishu ni kujicontrol wewe Kama wewe usionekane simp au upo very desperate na hizo k zao hio ndo changomoto ruksa kudindisha Ila sio kukojolea kila kitu unachodindishia hope you got it if not forget about it


[emoji1782][emoji592][emoji3528][emoji1625][emoji779][emoji689]

IMG-20230103-WA0001.jpg
 
Wewe mbakwaji ndio unajua maana ya kubakwa ndio sababu unatafuta kubakwa kwa hio toa maana wewe mwenyewe yaan unavaa kubakwa bakwa alafu unategemea usibakwe? Utabakwa tu hata kwa kutongozwa siku ukikubari mchezo ndio siku utakayobakwa hio unaingiziwa kinguvu nguvu hadi unauliza hiki nini 🔥
Ndiyo akili yako ilipoishia mbakaji wewe? I thought naongea na mtu anayejielewa. Wewe umeambiwa mnabaka hadi watoto wa miaka 2.
Je anakuvutia nini? Mwanaume aliyekamilika hata mwanamke awe mzuri vipi kama hajavutiwa naye hata hamtongozi, so huyu hawezi kubaka kakamilika.

Wewe ni mbakaji ambaye mwanamke si wako, kavaa zake huko unambaka ili? Sitokujibu zaidi ya hii kama hujaelewa endelea kuna miaka 30 jela.
 
Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili.

Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa kaka zangu na dada zangu ambao niliwabeba wakiwa watoto wachanga kwa sasa ni mabinti wakubwa. Mmoja yupo chuo first year, mwingine kamaliza form 4 na mwingine yupo form 2.

Hawa mabinti sasa sijui ndo kulelewa kizungu na mama zao au vipi kwa kweli kujiachia kwao ni too much unakuta kavaa kimini alafu kalala subureni, sometimes unaingia subureni wamekaa mikao ya hatari mpaka chupi zipo wazi kabisa unalazimika kubadilisha njia.

Mara mwingine kapiga kanga moko alafu kwa maumbo yetu ya kibantu anavyotetema pale chini ya mgongo ni hatari, kwa kweli watoto wanahamasisha ningekua uncle wa ovyo uenda ningejaribu kufanya jambo 😀😀😀.

Wadogo zangu wa kike na wakina dada wote, tunajua sheria za masuala ya mapenzi na mahusiano zinawalinda sana ila sasa isifike hatua mkafanya abuse au ku-act childish.

Tambueni na wanaume pia wana hisia. Ni kitu kibaya kwa mwanamke kufanyiwa kitendo cha unyanyasaji wa kingono ila jichunge wewe mwanamke mwenyewe usiwe chanzo cha kufanyiwa hicho kitendo.
Mwanaume Umeumbiwa Mateso 🤣🤣🤣
 
Mleta uzi kuwa mkweli tu .. umewatamani😅

Umecharaza uzi tu huku rungu limesimama kwa wanao,ankooooz😅.

Pole sana,umejaribu kuongea na hao wazazi?
 
Sipati picha
Anko wa kibongo bongo mwenye akili Kama hizi za mtoa mada, Aipate Nafasi adhimu ya kula ice cream Hivi na mjomba wake wakiwa vacation ya kifamilia [emoji22][emoji116] .
View attachment 2469815

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tamaduni zetu na zao ni tofauti kabisa ndio maana wewe huwezi kaa hivyo na na niece wako hata kama mtakua vacation hayo mambo yenu ya kuiga tamaduni za watu ndio zinaleta ndugu kulana
 
Back
Top Bottom