Unamaanisha hawawezi kuanza ujenzi pasipo kuchoma kwanza soko?Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na hadhi ya Mkoa wa Arusha.
Nawasilisha
Hili hata namba moja aliepo sasa alishalisemaga, staili ya kuchoma ishapitwa na wakati hii.....Unamaanisha hawawezi kuanza ujenzi pasipo kuchoma kwanza soko?
Mbona lile la Mwanza walianza ujenzi bila soko lililokuwepo kuchomwa moto?
ok.Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na hadhi ya Mkoa wa Arusha.
Nawasilisha
Hili hata namba moja aliepo sasa alishalisemaga, staili ya kuchoma ishapitwa na wakati hii.....
Sipendezwi na hii tabia ya uchomaji wa masoko makusudi...Hili hata namba moja aliepo sasa alishalisemaga, staili ya kuchoma ishapitwa na wakati hii.....
pale kilombero si linajengwa mkuuYule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na hadhi ya Mkoa wa Arusha.
Nawasilisha
pale kilombero si linajengwa mkuu
Watu wahamishwe ili wajenge. Ukatili wa kutiana hasara wa nini?