😄😄Yani imebidi nicheke tu.Boma village ndio palikuwa makazi yangu ya muda. At least ndio palikuwa pamejengeka kidogo.
Hivi Yale mandege mwalabu yapo??
Ni vizuri wangalitabiri juu ya uponyaji wagonjwa Hospital ili wagonjwa wapone wote ,tofauti na hapo ni vibaka Manabii wa uongo walitaniriwa hao,wanaweza kutupa ugonjwa kwako ki chawi alafu wakauondoaNi Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Kitambo isee kina mzee wambura, manywa, morinyo wa urambo, msauzi, marashi, isakizi, mwalimu madulu,vinni, chepe,tayaya, Musa mamilioni, mama unonoHuyo rafiki yake anaitwa nasoro yupo dar kwasasa
MAGOGONTI 😅😅😂😂😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Yatakua Ni MAHAMA😅😅😂😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Mkuu,Itabidi muanzishe thread yenu sasa ya kukumbushana. Maana mi nimewaulizia hao watu kuna taarifa za muhimu nazitafuta.
Kuna mambo mengi yananitatiza kuwahusu wao. Thus why natamani kujua watu wa huko urambo wanawafahamu vipi?
Mi sipo urambo kwa sasa. Na sitafuti mahali pa kwenda, nilichohitaji zaidi ni taarifa za hao watu. Kama una mtu yupo huko na anawafaham, nitumie mawasiliano yakeMkuu,
Ku make a story short kwenye swala lako kwa details nilizo chimba Ni Bora uende UFUFUO NA UZIMA hapo urambo
Sawa mkuuMi sipo urambo kwa sasa. Na sitafuti mahali pa kwenda, nilichohitaji zaidi ni taarifa za hao watu. Kama una mtu yupo huko na anawafaham, nitumie mawasiliano yake
We Jamaa tunamuharibia jamaa uzi wake haaaaahaaaa tayaya anazidi kunenepa,morinyo alikuwa bonge la kocha sijui yuko wapi.mh msauzi sharo alishakufa kitambo .alikuwaga anafanyakazi kwenye ile urambo kebo bonanza.Kitambo isee kina mzee wambura, manywa, morinyo wa urambo, msauzi, marashi, isakizi, mwalimu madulu,vinni, chepe,tayaya, Musa mamilioni, mama unono
Umenikumbusha mengi Sana mzee
Sio madam wema ni madam enna kafupi hivi karikuwa kanaandika kwa mkono wa kushoto.da nimekasumbua sanam😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Haaaahaaaa yani jamaa uzi wake umeshaharibika.Uzi wa kuwaulizia manabii umegeuka sehemu ya watu walioishi urambo kukumbushana hbr zao
We jamaa nahisi takuwa nakujua.Mkuu,
Unajua watu wengi Sana wa urb hope watakua Ni age mate WAKO.............
Aisee nimeamini ule usemi milima haikutani binadamu hukutanaa
Hiyo ni mihama😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Hapana sizani Kama tunajuana Nilikujaga hapo urb sikukaaga Sana Kuna mwalimu mrefu alikua anacheza Sana mpira akiitwa TIGOWe jamaa nahisi takuwa nakujua.
AiseeWe
We Jamaa tunamuharibia jamaa uzi wake haaaaahaaaa tayaya anazidi kunenepa,morinyo alikuwa bonge la kocha sijui yuko wapi.mh msauzi sharo alishakufa kitambo .alikuwaga anafanyakazi kwenye ile urambo kebo bonanza.
Halafu manywa alifariki kitambo yani kaugua akapelekwa kwa basi dar eti kafa ndio wakamleta kwa ndege.ila sita mungu anamuona.
Huyo msauzi aliwahi gombania demu fulani anitwa anna peter da jamaa yangu alitishwa vibaya .ngoja niishie hapa mambo mengi musq mchache
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Hahaha mama Unono jina nimekukumbuka..Kitambo isee kina mzee wambura, manywa, morinyo wa urambo, msauzi, marashi, isakizi, mwalimu madulu,vinni, chepe,tayaya, Musa mamilioni, mama unono
Umenikumbusha mengi Sana mzee
Huyo tigo alikuwa ukombozi sekondariHapana sizani Kama tunajuana Nilikujaga hapo urb sikukaaga Sana Kuna mwalimu mrefu alikua anacheza Sana mpira akiitwa TIGO