Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

Boma village ndio palikuwa makazi yangu ya muda. At least ndio palikuwa pamejengeka kidogo.

Hivi Yale mandege mwalabu yapo??
😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
 
Ni Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.

Kwa anayewafahamu anisaidie
Ni vizuri wangalitabiri juu ya uponyaji wagonjwa Hospital ili wagonjwa wapone wote ,tofauti na hapo ni vibaka Manabii wa uongo walitaniriwa hao,wanaweza kutupa ugonjwa kwako ki chawi alafu wakauondoa
ushapigwa hapo
 
😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
MAGOGONTI 😅😅😂😂
 
Yatakua Ni MAHAMA😅😅😂
 
Itabidi muanzishe thread yenu sasa ya kukumbushana. Maana mi nimewaulizia hao watu kuna taarifa za muhimu nazitafuta.
Kuna mambo mengi yananitatiza kuwahusu wao. Thus why natamani kujua watu wa huko urambo wanawafahamu vipi?
Mkuu,
Ku make a story short kwenye swala lako kwa details nilizo chimba Ni Bora uende UFUFUO NA UZIMA hapo urambo
 
We
Kitambo isee kina mzee wambura, manywa, morinyo wa urambo, msauzi, marashi, isakizi, mwalimu madulu,vinni, chepe,tayaya, Musa mamilioni, mama unono

Umenikumbusha mengi Sana mzee
We Jamaa tunamuharibia jamaa uzi wake haaaaahaaaa tayaya anazidi kunenepa,morinyo alikuwa bonge la kocha sijui yuko wapi.mh msauzi sharo alishakufa kitambo .alikuwaga anafanyakazi kwenye ile urambo kebo bonanza.
Halafu manywa alifariki kitambo yani kaugua akapelekwa kwa basi dar eti kafa ndio wakamleta kwa ndege.ila sita mungu anamuona.
Huyo msauzi aliwahi gombania demu fulani anitwa anna peter da jamaa yangu alitishwa vibaya .ngoja niishie hapa mambo mengi musq mchache
 
😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Sio madam wema ni madam enna kafupi hivi karikuwa kanaandika kwa mkono wa kushoto.da nimekasumbua sanam
 
😄😄Yani imebidi nicheke tu.
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno
Hiyo ni mihama
 
We

We Jamaa tunamuharibia jamaa uzi wake haaaaahaaaa tayaya anazidi kunenepa,morinyo alikuwa bonge la kocha sijui yuko wapi.mh msauzi sharo alishakufa kitambo .alikuwaga anafanyakazi kwenye ile urambo kebo bonanza.
Halafu manywa alifariki kitambo yani kaugua akapelekwa kwa basi dar eti kafa ndio wakamleta kwa ndege.ila sita mungu anamuona.
Huyo msauzi aliwahi gombania demu fulani anitwa anna peter da jamaa yangu alitishwa vibaya .ngoja niishie hapa mambo mengi musq mchache
Aisee
 
Kuna mchunpaji mwingine namsikia usiku capital radio na efm aise akili yangu imegoma kabisa kuamini kuwa zile simu anazopokea sio maigizo.
 
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.

Kwa anayewafahamu anisaidie

Kwamba hawezi kutabiri yalio ya neema, mema, mafanikio.
Wao ni kutabiri majanga tu!!
NA WAUMIN WAPO WANAWASIKILIZA.!!
 
Kitambo isee kina mzee wambura, manywa, morinyo wa urambo, msauzi, marashi, isakizi, mwalimu madulu,vinni, chepe,tayaya, Musa mamilioni, mama unono

Umenikumbusha mengi Sana mzee
Hahaha mama Unono jina nimekukumbuka..

Hivi Yale mabasi ya Anam bado yapo??
 
Back
Top Bottom