Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
- Thread starter
- #101
😄😄Yani imebidi nicheke tu.Boma village ndio palikuwa makazi yangu ya muda. At least ndio palikuwa pamejengeka kidogo.
Hivi Yale mandege mwalabu yapo??
Mwishowe mtaanza kuulizia yale matunda yana nyuzinyuzi yanaota kwenye miti kama minazi (nimeyasahau jina) madam wema wa urambo day alikuwa anayapenda sana. Ila akitaka kula anajifungia maana wakati wa kula zile nyuzi zinaingia katikati meno