Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Sawa, naupenda sanaNitautafuta
Sawa, naupenda sanaNitautafuta
watoto wa kishua watasema hapa ni kwa mganga [emoji1787]
Umesahau vihesabioTuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena
Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani wala hamjawahi kuonana?View attachment 3282114
Nilikua napenda sana hivi vitu 😜😎😍