Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

2003. Ilikua ukiwa nayo unaheshimika. Siku hizi haimalizi siku ishaisha.
images (10).jpeg
images (11).jpeg
 
Umetisha sana mshana jr.asilimia 90 ya picha ulizopost nimeshiriki.yalikua maisha yaliyojaa tabasam sanaaa bila ya hofu ya kesho.hatukujua muda hausimami.u brought nice memories asantee
Afrika hatutunzi kumbukumbu kwa picha, yaani hiyo michezo kariba yote tumecheza lakini picha za magiza sizioni naona sijui wahindi tu
 
Mshana jambo la kusikitisha ni watoto Toka asubuhi wako na video games. Play station, kwenye simu au tv, PC nk. Hakuna physical engagement. Matokeo mapema wangali makinda cases za visukari na Figo zinaanza. Tunayodhani maeendeleo na ukisasa ndio chanzo cha matatizo yetu.
Mkuu; Asante sana. Na wazazi wa kileo wamo humo-humo mtindo mmoja. Mzazi (mama)anambembeleza mtoto kwa kumpa smartphone aangalie katuni ili anyamaze kulia. Wazazi hao hao wanawanunulia watoto juice za dukani lakini hata siku moja hawajiulizi Ni shamba gani hilo la maembe linalozaa mwaka mzima na linatosheleza nchi nzima Tz na ziada inabaki??? Tusipokubali kubadilika kwa hiari; , visukari, presha, figo, ini vitaendelea kututafuna
 
Ukuti Ukuti wa meme wa meme tumpeleke mnazi mmoja.

Kula tumbakishie baba kula tumbakishie baba.
Kuna mistari umeiruka hapo...
Mwenzetu mwenzetuuu
Kagongwaa kagongwaa
Na nininii na niniiii..

NB: wakati huo hospital ya Mnazi mmoja ilikuwa ndio kama Muhimbili
 
Back
Top Bottom