Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

Kuna mpuuzi anakawaida ya kuniiya ejigo kmmke sasa ndio namuelewa
 
Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena

Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani wala hamjawahi kuonana?View attachment 3282114
Kabisa mkuu,umeona mbali,ilikuwa raha sana enzi hizo,, sikuhizi ni get kali tu mitaani,si ajabu leo hii kuwa jirani lkn hamtembeleani miezi kadhaa,na ukisema ujitoe mhanga kumtembelea anahisi unatafuta umbea tu, ivyo anakaa kwa tahadhari kubwa,anakusikiliza kwa taabu kichwani anajiuliza ataondoka mda gani huyu?,,hivyo hivyo hata kwa watoto hawachezi pamoja,niliwahi sikia mzazi mmoja eti hataki mwanae acheze asije akachafuka!!!!,,ajabu sana aseh mzazi kama huyu.
 
niliwahi sikia mzazi mmoja eti hataki mwanae acheze asije akachafuka!!!!,,ajabu sana aseh mzazi kama huyu.😂
 
Back
Top Bottom