Kipindi hico hakukuwepo kamera wala watu waliokuwa na Interest ya uchoraji wazuri. Kumbukumbu nyingi zilihifadhiwa kwa masimulizi ya mdomo i.e. Hadithi au Traditional History.Tuna hiyo shida kuna vitu hatuvipi umuhimu.. Tunavidharau
Vum vum Nimecheka sana 😂😂😂
Hahaha 😆 😂 😆