Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Kuna watu walipasua division one kwa kutumia chemli tuu, siku hizi shule nzima inapata one zote πππππ
Halafu walipata mavuno mengi na waliishi kwa amani, siku hizi wanatumia matrekta lakini wapi πππ
Hapa ni kula na stori za maisha, old is gold, siku hizi tunatenga bufee kulingana na hela zako ππππ
Hii mpaka leo nikienda mbeya sahani ni matawi ya mgomba ππ
Sasa kwanini unatukana?Kuna mpuuzi anakawaida ya kuniiya ejigo kmmke sasa ndio namuelewa
Hivi mshana hizi bado zipo madukani..?
Shegeshaa ππππ
Hii code ya "dindi " nimeielewa mzee πππ, watu wa kaskazini maeneo ya kuogelea yenye kina kirefu ni machache au hayapo kabisaHiyo ya kUserereka udongoni inanikumbusha kwamtei huko mto rau,dindi la mdeo,dindi la miraji na madindi mengine.KABUBAMBAA.
Mamkasii πππ , vitoto vya 2000 havijui adha ya kujifunza baiskeli iliyokuzidi urefuPart 2: Tofauti ni rangi tuu lakini almost kila kitu ni kilekileView attachment 3285392
Marehemu Baba alikuwa ananinunulia hizi gololi nikifika shuleni nawagaia wenzangu ambao walikuwa hawana na wanatamai kuwa nazo. Asante mtani nimekumbuka mbali sana.
Kamlio ka vuuuu vuuuuuππππ
Ndio nilitoyataja ndo angalau tulichapa KABUMBAMBAA kwa uhakika na kama hujiwezi usiingie kwenye hayo maji.Hii code ya "dindi " nimeielewa mzee πππ, watu wa kaskazini maeneo ya kuogelea yenye kina kirefu ni machache au hayapo kabisa
Nilipigwa sana kwa kumaliza viberitiππππ
Sanlg new modelππππ
M23 ..Hamas wakae mbali hapoπππJeshi la kulinda amani