Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwa upande wangu niliharibiwa kisaikolojia tu
Stori ipo iv
Sijawahi kukosa kitu kwa mzazi wangu (baba), ila shida ilikua moja tu.
Wakati nakua mm nilikua sisikilizwi hata kwa vitu vya kawaida, kila jambo ni lazma waseme wenzangu ndo litatekelezwa ila nikilianzisha mm haliwez kufanyiwa kazi, hapo ni hadi vile vitu vinavyonihusu mm binafsi ni lazma nipate back up ya walionitangulia (ambao wamekulia maisha hayo watakua wanajua).
Nakumbuka kuna safafari nilikua naenda shule so mm na rafiki zangu tukakubaliana tupande gari moja na kila mmoja amuombe mzazi wake nauli akakate tiketi mwenyewe, kwa upande wangu nilinyimwa wakati wenzangu wote walipewa hela na wazazi wao kasoro mm tu (hili jambo liliniharibu sana), ikabidi niwadanganye marafiki zangu kwamba sitosafiri hyo siku but ilivyofika asubuhi wakaniona napanda kwenye wanteni kwa bei sawa na magari mazuri waliyopanda wao, niliumia sana
Hiyo hali iliendelea mpaka nilipokua chuo.
Kisa kingine kilichonifanya niache chuo
Nakumbuka nilikua mwaka wa pili na ilitakiwa niwe na laptop kwaajili ya kufanyia mazioezi ya autocard(wale mliosoma engineering mtanielewa umuhimu wa laptop kwenye hili somo)
Nilivyoomba laptop mzee akaniambia nimwambia kwanza ndugu yangu na yeye ndo atamwambia ili amtumie hela, nilifanya kama alivyoniambia ila shida ikawa hela ilivyotumwa sikupewa hiyo laptop kwa wakati
Hapo taa nyekundu ikawaka kichwani mwangu nikajiona kama msukule ivi, kwa haraka sana nikaanza kutafuta kazi ili niachane na chuo, mungu ni mkubwa nikapata kazi na nikaachana na habar za chuo ili nianze kuishi maisha yangu mwenyewe
From there nikitaka kufanya jambo nilikua sisikilizi mtu ninafanya kile ninachojiskia mwenyewe.
Mpaka leo hii namuone huruma wife na ndugu wanaopenda kunishauri vitu coz hata wanishauri kitu cha heri huwa siwasikilizi nafanya kama nilivyokuwa nafanyiwa mimi.
Nimelaumiwa sana kwenye upande wa familia ila hawajui kwamba wao ndio wamenifanya mimi niwe hiv nilivyo sasa
Kwa sasa hela ya kubadili mboga ninayo ila ndo hivyo tena saikolojia ishajiendea kibra.
Sometimes watoto wanaonekana wabaya na wana dharau ila wanasahau kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyoStry ya maisha yako ni kama yangu tu, mpaka nahisi labda mzee alinizaa kwa bahat mbaya.?![emoji3061]
Kuna wazazi ni miyeyusho Sana niishie hapo
Hawawezi kuelewa unachopitia. Hizi story zipo nyingi. Wazazi wanahisi wakishakulipia ada, wakikupa chakula na sehemu ya kulala wameshamaliza kazi mengine hayana umuhimu.Mimi kwa upande wangu niliharibiwa kisaikolojia tu
Stori ipo iv
Sijawahi kukosa kitu kwa mzazi wangu (baba), ila shida ilikua moja tu.
Wakati nakua mm nilikua sisikilizwi hata kwa vitu vya kawaida, kila jambo ni lazma waseme wenzangu ndo litatekelezwa ila nikilianzisha mm haliwez kufanyiwa kazi, hapo ni hadi vile vitu vinavyonihusu mm binafsi ni lazma nipate back up ya walionitangulia (ambao wamekulia maisha hayo watakua wanajua).
Nakumbuka kuna safafari nilikua naenda shule so mm na rafiki zangu tukakubaliana tupande gari moja na kila mmoja amuombe mzazi wake nauli akakate tiketi mwenyewe, kwa upande wangu nilinyimwa wakati wenzangu wote walipewa hela na wazazi wao kasoro mm tu (hili jambo liliniharibu sana), ikabidi niwadanganye marafiki zangu kwamba sitosafiri hyo siku but ilivyofika asubuhi wakaniona napanda kwenye wanteni kwa bei sawa na magari mazuri waliyopanda wao, niliumia sana
Hiyo hali iliendelea mpaka nilipokua chuo.
Kisa kingine kilichonifanya niache chuo
Nakumbuka nilikua mwaka wa pili na ilitakiwa niwe na laptop kwaajili ya kufanyia mazioezi ya autocard(wale mliosoma engineering mtanielewa umuhimu wa laptop kwenye hili somo)
Nilivyoomba laptop mzee akaniambia nimwambia kwanza ndugu yangu na yeye ndo atamwambia ili amtumie hela, nilifanya kama alivyoniambia ila shida ikawa hela ilivyotumwa sikupewa hiyo laptop kwa wakati
Hapo taa nyekundu ikawaka kichwani mwangu nikajiona kama msukule ivi, kwa haraka sana nikaanza kutafuta kazi ili niachane na chuo, mungu ni mkubwa nikapata kazi na nikaachana na habar za chuo ili nianze kuishi maisha yangu mwenyewe
From there nikitaka kufanya jambo nilikua sisikilizi mtu ninafanya kile ninachojiskia mwenyewe.
Mpaka leo hii namuone huruma wife na ndugu wanaopenda kunishauri vitu coz hata wanishauri kitu cha heri huwa siwasikilizi nafanya kama nilivyokuwa nafanyiwa mimi.
Nimelaumiwa sana kwenye upande wa familia ila hawajui kwamba wao ndio wamenifanya mimi niwe hiv nilivyo sasa
Kwa sasa hela ya kubadili mboga ninayo ila ndo hivyo tena saikolojia ishajiendea kibra.
AiseeKuna makosa mengine mtu hawezi kumsamehe mzazi mfano mzuri ni rafiki ndugu yangu mmoja ambaye baba yake ni mganga wa Jadi huko Shinyanga, huyu mzee alikuwa na wivu wa wazi kwa mtoto wake na mara zote alipinga jamaa kwenda shuleni na hata tupo advance level mzee wake alikuwa hampi sapport yoyote mpaka tuna maliza tunaingia chuoni mzee hana mawasiliano na jamaa wala hatumi pesa.
Sisi ndiyo tunamsaidia hapa na pale jamaa alipomaliza chuo na kupata kazi mzee akaanza maneno kuwa jamaa hasaidii familia kwanza kamtelekeza baba yake kisa amesoma anadharau. Mimi nikamshauri omba msamaha kwani mzazi hakosei ( hizi ni fikra zangu wakati huo saivi nimebadilika).
Kikawekwa kikao jamaa akaomba msamaha mambo mengine yanaendelea. Alivyotaka kuoa ikawa shida mzee hamtaki mwanamke wa jamaa ila tuli force tukamaliza vizuri.
Baada ya ndoa mzee akaleta maneno kuwa mwali akae pale nyumbani ili wachunguze kumbe yule mzee ana nia mbaya na mke wa jamaa. Kwa kutumia dawa zake za kiganga alifarakanisha uhusiano kati ya jamaa (mtoto wake) na mkewe.
Baadaye ikaja kugundulika huyu mzee anamahusiano na mke wa mtoto wake baada ya mke kushika mimba jamaa akaikataa. Sasa wewe hapo unaweza kusamehe uchawi wa hivo? Mimi sio mnafki hapa nilimshauri mwamba akate mawasiliano.
Mfano Mimi sijawahi kuungwa mkono kitu na baba yangu wala mama yangu. Ila waliwapenda sana mpaka sasa wanawapenda dada na kaka yangu na wadogo zangu ila mimi nikawa kama black sheep sihirikishwi kwa chochote lakini sasa hivi nishajua ile familia ni karmic relationship. Hakuna picha hata moja nimepiga nipo na wazazi wangu au nimepiga na baba au mama hakuna wala hawajawahi kuniweka status. Ila sina ubaya nao japo siongei nao kila mtu na maisha yake na sasa nina familia nimeoa lakini sikuwa shirikisha kitu wala sikutaka mchango wao. Na wala hawana taarifa za life yangu kuwa nina watoto lakini hawajawahi kuwaona. Huu ni mwaka wa saba sijawahi kukanyaga nyumbani kwetu lakini sio kama kwa ubaya cz nina amani kila mtu sijamkosea kitu. Kama shida walianza wao na uhusiano ni kama daraja kama hukunipenda na kuweka uhusiano mzuri na mimi utotoni usidhani ukubwani nita kupa time wala nafasi Never.
DuhMe Mzee wangu kavurugwa na mama wa kàmbo ili anione Mimi kinyesi,,,, inafika muda Mzee unampigia Simu hapokei kwa kuhofia nitamlilia shida haya Mzee wangu uliikuta missed call basi nitafute uniulize kunani kijana wangu mbona ulinipigia Simu mida Fulani,Hana kabisa time kisingizio ubuzy wa kazi kweli Mzee wangu,,, au akipokea hata haniulizi mwanangu unaendeleaje na majukumu,,,, Mzee anafahamu fika kuwa maisha yangu yameharibiwa na walimwengu hivyo msaada wake nauhitaji lakini Hana time na Mimi. Anyway namuacha apande mazao yake kikamilifu kwani atakachokuja kuvuna Mungu ndiye anajua.
Pole sana ndugu... nakuelewa, wengi wanapitia kutengwa na kunyanyapaliwa na familia au wazazi wao wa kuwazaa. Hawawasaidii wala kutaka kushiriki na kujua nini kinaendelea maishani mwao.Kuna makosa mengine mtu hawezi kumsamehe mzazi mfano mzuri ni rafiki ndugu yangu mmoja ambaye baba yake ni mganga wa Jadi huko Shinyanga, huyu mzee alikuwa na wivu wa wazi kwa mtoto wake na mara zote alipinga jamaa kwenda shuleni na hata tupo advance level mzee wake alikuwa hampi sapport yoyote mpaka tuna maliza tunaingia chuoni mzee hana mawasiliano na jamaa wala hatumi pesa.
Sisi ndiyo tunamsaidia hapa na pale jamaa alipomaliza chuo na kupata kazi mzee akaanza maneno kuwa jamaa hasaidii familia kwanza kamtelekeza baba yake kisa amesoma anadharau. Mimi nikamshauri omba msamaha kwani mzazi hakosei ( hizi ni fikra zangu wakati huo saivi nimebadilika).
Kikawekwa kikao jamaa akaomba msamaha mambo mengine yanaendelea. Alivyotaka kuoa ikawa shida mzee hamtaki mwanamke wa jamaa ila tuli force tukamaliza vizuri.
Baada ya ndoa mzee akaleta maneno kuwa mwali akae pale nyumbani ili wachunguze kumbe yule mzee ana nia mbaya na mke wa jamaa. Kwa kutumia dawa zake za kiganga alifarakanisha uhusiano kati ya jamaa (mtoto wake) na mkewe.
Baadaye ikaja kugundulika huyu mzee anamahusiano na mke wa mtoto wake baada ya mke kushika mimba jamaa akaikataa. Sasa wewe hapo unaweza kusamehe uchawi wa hivo? Mimi sio mnafki hapa nilimshauri mwamba akate mawasiliano.
Mfano Mimi sijawahi kuungwa mkono kitu na baba yangu wala mama yangu. Ila waliwapenda sana mpaka sasa wanawapenda dada na kaka yangu na wadogo zangu ila mimi nikawa kama black sheep sihirikishwi kwa chochote lakini sasa hivi nishajua ile familia ni karmic relationship. Hakuna picha hata moja nimepiga nipo na wazazi wangu au nimepiga na baba au mama hakuna wala hawajawahi kuniweka status. Ila sina ubaya nao japo siongei nao kila mtu na maisha yake na sasa nina familia nimeoa lakini sikuwa shirikisha kitu wala sikutaka mchango wao. Na wala hawana taarifa za life yangu kuwa nina watoto lakini hawajawahi kuwaona. Huu ni mwaka wa saba sijawahi kukanyaga nyumbani kwetu lakini sio kama kwa ubaya cz nina amani kila mtu sijamkosea kitu. Kama shida walianza wao na uhusiano ni kama daraja kama hukunipenda na kuweka uhusiano mzuri na mimi utotoni usidhani ukubwani nita kupa time wala nafasi Never.
Ni Mimi mkuu. Siku hizi nimejitenga, Ni mwaka mmoja Sasa hawajui nilipo na Mimi sijui wapo hai au wamekufa and I don't care kwa sababu hakuna atakayeishi mileleNimesahu Ni Nani ..lkn Kuna mdau humu aliweka Uzi..akisema hapatani na Mama yake mzazi..maana Kila Jambo ambalo alikiwa akimshirikisha Mama yake kwa Nia njema Jambo Hilo linakwama.
mimi wakati nakua nilikuwa namuona mama angu ananibagua lakini saivi naona alikuwa sawa tu,wakati mwingine tabia zetu watoto zinakuwa so nzuri tusiishie tu kulaumu wazaziur not alone kwenye hilo wapo is wengi wana pitia hiyo hali ya kubaguliwa tangu watoto,ni ngumu kurudi nyuma
Ipo siku utatamani kuongea nae ila utakua ushachelewa.Hata wazazi hukosea. Akikosea muweke sawa - mwambie, sio kisa mzazi basi unaogopa kumchana.
Miaka kama 8 hivi iliyopita, mama angu aliwahi kunipigia simu na kuanza kunilalamikia kwanini simpigii simu, na ni kweli nilikuwa sipigi simu kwasababu nilikuwa nimevurugwa na maisha, na akili haikuwa sawa.
Sasa mimi kitu kimoja huwa sipendi ni mtu anilalamikie, huwa sipendi hilo jambo, nikamuambia mama 'we ukiona sikupigii uwe unapiga wewe'
Nikaona ameshangaa ile ya kichaga 'haya baba angu, na usipige kabisa'
Na kweli sikupiga simu tena zaidi ya mwezi, yeye ndo alinipigia siju moja ndo tukaongea kama kawaida.
Tangu wakati huo hakuwahi kunilalamikia tena kwamba sipigi simu, japo naweza pitisha mpaka wiki tatu sijaongea naye