Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!

Msiseme sikuwahabarisha.


8032221238_ddda6d5ed5_b.jpg

 
Asante sana kwa taarifa
Sitaki tena mishikaki dah kwa style hii nahisi hata Bongo imeshaingia
 
Asante sana kwa taarifa
Sitaki tena mishikaki dah kwa style hii nahisi hata Bongo imeshaingia

Dah wewe unanishangaza sana, eti unahisi hata bongo imeshaingia, Ni leo sasa? ohoo chezea mishikaki wewe. Hata ukienda kuchoma nyama sehemu usizoziaminiamini hakikisha baada ya kuchoma wanakuja kuikatakata palepale ulipo baada ya kujiridhisha ni ile uliyochagua
 
Back
Top Bottom