Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

Moisemusajiografii nimeipenda sana signature yako: Keep your friends close. But, keep your enemies even closer!
Kwa sababu hiyo nakupa mwaliko rasmi uje katika nyumba yetu ya kifalme ule vinono!
Changamoto inayokuja,sipajui huko kwenye nyumba yenu.Kuwa specific and to the point,kwenu/kwa baba yako ni wapi ili nije?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…