Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

Mfalme Zumaridi?
1000007771.gif
 
Na mimi nataka kuja kukuvizia mtoto mzuri wa Mfalme. Mwaliko tafadhali 🤝
Nyumbani kwa Mfalme huwezi kuja kwa kuvizia. Kuna walinzi mahiri wanaoona mbali sana. Utazuiliwa mapema sana kabla hata hujaanza safari yako.
 
Nimesema mbona hajulikani UK? UK ni constitutional monarchy. Kama mtu ni mfalme na hajulikani UK basi labda huyo amejipachika ufalme!
Si Kweli. Huko shuleni mlisomea ujinga? Kwanza kabisa, UK ni constitutional monarchy ndiyo, lakini hiyo haimaanishi kwamba mfalme au malkia anayejulikana lazima awe wa UK pekee. Kuna wafalme na malkia wengi duniani ambao si lazima wakubalike au wajulikane UK. Heshima na utambulisho wa kifalme unahusiana na nchi wanazotawala au nasaba zao, siyo kwa idhini ya UK.

Pili, kusema kwamba kama hajulikani UK basi ‘amejipachika’ ni hoja dhaifu. Mfano, je, kila kiongozi wa kifalme wa Thailand, Saudi Arabia, au Eswatini lazima awe maarufu UK ili aonekane ni mfalme halali? Hapana. Legitimacy yao inatokana na katiba, historia na utambulisho wa wananchi wao, siyo maoni ya Waingereza.

Tatu, UK yenyewe haina mamlaka ya kuthibitisha nani ni mfalme duniani. Wao wana heshimu nasaba yao kupitia mfumo wao wa constitutional monarchy. Kwa hiyo kujulikana au kutojulikana UK si kipimo cha uhalali.
 
Nimeitaja UK kwa sababu ufalme wake ni mkubwa na mambo yake ya kifalme yalianza siku nyingi. Hivyo mfalme maarufu ni lazima ajulikane UK. Mfano mzuri ni huu: Inawezekana kweli ukawa Rais wa US halafu usimjue Rais wa China na Urusi? Anyway, tusitoke nje ya mada. Niulize maswali yanayohusiana na hadhi yangu: MTOTO WA MFALME
 
Umeolewa?
 
Back
Top Bottom