Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

Sikuwahi kujua mtu akiwa mlokole anapagawa kiasi hiki.
 
Kwa akili hizi za kijinga bado mnailaumu ccm
 
Sikuwahi kujua mtu akiwa mlokole anapagawa kiasi hiki.
Sikuwahi kujua mtu akipata picha ya mapailoti anapagawa kiasi cha kuifanya picha hiyo kuwa ndiyo utambulisho wake 😎
Njoo nyumbani kwetu ule vyakula vya kifalme
 
Karibu kwetu ule vyakula vya kifalme, uondoe hizo stress za siasa
1 Petro 2:9
Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;

Ufunuo wa Yohana 5:10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
 
Watoto wa Mfalme hawaugui ovyo ovyo. Na hata wakiugua hawaendi clinic. Nyumba ya Mfalme ina kila kitu muhimu
Nilidhani ni mild bipolar Ila inaweza kuwa tatizo ni kubwa.Usiogope ni quick procedure hutachomwa sindano.
 
Back
Top Bottom