Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

Changamoto inayokuja,sipajui huko kwenye nyumba yenu.Kuwa specific and to the point,kwenu/kwa baba yako ni wapi ili nije?
Unaishi wapi wewe. Mfalme huyu anajulikana katika miji yote na vijiji vyote halafu wewe unasema hujui nyumba yake ilipo. Sawa, basi Mwaliko nitawapa wengine, naona wewe umesusa.
 
Kumbe Mfalme unayemtambua ni mpaka atokee UK?
Nimesema mbona hajulikani UK? UK ni constitutional monarchy. Kama mtu ni mfalme na hajulikani UK basi labda huyo amejipachika ufalme!
 
Back
Top Bottom