Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Hahahaa jamaa yangu alifanya vituko sana Durban mpaka nikamkimbia kwenda Port Elizabeth kuogopa asije shtukiwa halafu mi ni rafiki yake..
Dada wa kisouth anapitia asubuhi namuweka dawa za tumbo na jioni anapitia tena anaopata dawa ...kwa siku saba...kwa ajili ya kumtoa mikosi na uchawi uliopo tumboni mwake..hiyo ni baada ya kumuwekea yai lenye nywele , damu,nyuzi za nguo,sindano na vipande vya viwembe..yai tunaliunga vizuri na super glue halafu tunaliweka uji wa mshumaa...yaani kazi inafanyika kwa weledi mkubwa na hutojuwa km yai lilikatwa na kuungwa tena...ukija na yale mayai yako tuliyokuagiza...tunakwambiya weka mkono kwenye mayai yale NUIA SHIDA ZAKO...baadae ndy tunakubadilishia moja ktk yale mayai 3....then tunakwambiya uvunje yale mayai ,ndy hapo utakapokutana na yai lenye uchafu wa viwembe,damu,nyuzi za nguo,sindano,Basi hapo ndy anapoanza kuchanganyikiwa MDADA wa watu....kama ni mzuri na unamtaka UMTAFUNE ndy hapo unampa masharti..kwamba sababu karogwa,,na ana UCHAFU ndani ya tumbo la uzazi,inabidi awekwe DAWA ambayo itakuwa inawekwa kwenye UUME wa mwanaume YEYOTE lakini sio MUMEWE au MPENZI wake...unamtengenezea mazingira ya ugumu wa kupata mtu wa kumuingiza dawa. .mwishowe anakwambiya MGANGA NISAIDIE PLZ..ndy hapo dawa inapoanza kuwekwa kwake kwa njia ya MGEGEDO....hadi siku 7 zikifika za doze...mshakuwa wapenzi....hakauki kwa mganga hadi kero..maana nataka nitoe doze kwa wengine yeye anakomaa tu....basi mkuu kuna mengi sn tumepitia ktk kutafuta. Na zipo mbinu nyng za kudanganya watu na sio mganga wa kweli.....uongo tu
 
mara ya mwisho kwenda kwa mganga ilikua 2009 tanga hiyo.. nakumbuka yule mganga aliniambia nipeleke bati 10, jogoo wawil mmoja mweusi mwingine mweupe.. nikaona ufala huu sasa bati za nini anataka ajengee misukukule yake au nikampotezea mpaka leo sigusi kwa hawa watu..
 
Jirani yetu binti wao alisumbuliwa na maradhi, walihangaika hospitali zote , yule dada ilikuwa akisafiri to the moon ni ugonjwa wakupoteza fahamu.

Mmoja wa Sangoma alisema binti analogwa na wazazi wake. Wazazi wenyewe waliblow mapigo .
Nimecheka sana!!

Masongoma wachonganishi hatarii!!
 
Msema kweli mpenzi wa mungu.nilishakwenda kwa mganga.kwa ajili ya demu.tulikuwa wapenzi ghafla aka badilika.akawa mgumu kinomaaa.hanipendi tena.niliumia.kuna rafiki yangu yeye ni mganga nikamueleza akasema tulia atarudi.
Tukafanya Mandingo mixer kuoga njia panda usiku.kuchoma sana UDI.kupasua Nazi n.k
Kiukweli demu alianza kubadilika na kuanza kuongea na Mimi.Mara salam n.k.
Siku zikapita tukarudi tena kwenye penzi.ila hatukudumu tuliachana.
Ushauri kama MTU hakupendi ACHANA NAE.MADAWA HUISHA NGUVU.
Kumbe kuna wanaume nao huwa wanaroga??
 
Jirani yetu binti wao alisumbuliwa na maradhi, walihangaika hospitali zote , yule dada ilikuwa akisafiri to the moon ni ugonjwa wakupoteza fahamu.

Mmoja wa Sangoma alisema binti analogwa na wazazi wake. Wazazi wenyewe waliblow mapigo .
Wewe kila uzi wenye mlengo hasi huwa unasingizia jirani au shost hata kama ni wewe
 
Kila mtu huwa ana imani yake

Kila mtu ana mbinu zake za kutatua matatizo yake.

Wapo ambao wakipata shida kidogo tu ni kwa babu sangoma wanakimbilia.

Tujuzane, vipi gharama huko? Shida zinatatulika? Permanently or temporarily?

Na pia nasikia every dark magic comes with a price, ni kweli..? Ni price zipi mnalipa kupata magic nyeusi hizo

Tujuzane

Binafsi mimi sijawahi kukanyaga kwa sangoma na sitakaa nikanyage huko

Nilienda tena nilivuka border hadi Msumbiji!! Ajali mara nne mfululizo hiyo ya mwisho niliona giza then gari ikajiongeza speed wakati nilikanyaga break!! Nikaona wataniua siku zi zangu.

Nikaenda Msumbiji kuleta jamaa huyo anabinuka binuka nyumbani uchi mchana kweupee lakini watu hawamuoni!!

Tangu siku hiyo heshima imetawala na watoto wapo poa sana na ajali hakuna.
 
Kuna shost amemshika mume wa mtu ki sawa sawa nilisikia mtaalamu alitoka Mozambique, kule si watu wa kispot spot.
 
Kuna shost amemshika mume wa mtu ki sawa sawa nilisikia mtaalamu alitoka Mozambique, kule si watu wa kispot spot.

Actually uganga ni taaluma, ukimpata mganga wa ukweli utafurahi na wala hana masharti ya aina yoyote tena wana miiko pia. Ukiona mganga anakupa sharti sijui lete kuku na mbuzi jua hapo hakuna kitu!!

TZ waswahili njaa imewatenda mbaya kiasi wameingiza ujanja kwenye uganga!!
 
Nilienda tena nilivuka border hadi Msumbiji!! Ajali mara nne mfululizo hiyo ya mwisho niliona giza then gari ikajiongeza speed wakati nilikanyaga break!! Nikaona wataniua siku zi zangu.

Nikaenda Msumbiji kuleta jamaa huyo anabinuka binuka nyumbani uchi mchana kweupee lakini watu hawamuoni!!

Tangu siku hiyo heshima imetawala na watoto wapo poa sana na ajali hakuna.
Wew acha bwebwe kaka na msumbiji yak
Kka ulikiwa mpigaji nini?, na kija Jakob, Fortu, Ivan, Lyambaa?
 
Sitoi jibu la moja kwa moja kuwa nimewahi ama sijawahi...ila waganga wapo na uganga upo...africa tulikuwa na mila za kiganga...wazungu wakaziboresha...tulitumia miti shamba wao wakatuletea madawa lakini waliyaboresha kutoka kwenye miti shamba kuwa madawa...ila matibabu ni yale yale....ata mambo ya giza pia yapo....
 
Back
Top Bottom