Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipm mkuu tushare kituMimi nimeanza kuhudhuria kwa babu nimwezi wa tatu sasa na matatizo yangu yametatuliwa on sport,nilikua nikiandamwa na majanga ambayo yalikua nje ya uwezo wangu ikafikia hatua kwamwezi napata hasara inayozidi kipato kwamaana kwamba badala ya kusonga mbele nikawa narudi nyuma tena kwahatua ndefundefu,baada ya kumpata mtaalam huu ni mwezi wa tatu naelekea mwezi wanne bila majanga hivyo hawa kina Mshana jr wanamsaada wao
Kama hujawahi kwenda kwa matatizo yako, basi utaenda kwa matatizo ya watoto.Kama ni kweli hujawahi kukanyaga huko ni vizuri sana! Endelea kushikilia msimamo huohuo ila maisha hayana formula na hujafa hujaumbika
Mkuu Nipm tujadili Jambo au nitumie namba zakoKama hujawahi kwenda kwa matatizo yako, basi utaenda kwa matatizo ya watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha akiwemo Haji Minara?Hili swali lingejibiwa vizuri na viongozi wa timu za Simba na Yanga.Wana uzoefu hatari
Nawew tafuta pesa.ho ho ho ho!Wakati huo ushavurugwa bro.unataka kurudisha penzi.ukiangalia demu ameanza kutoka na jamaa mwenye hela.wewe kakumwaga.inauma sanaaa.
.Bila kusahau wanasiasa
.Niliwahi kwenda kwa waganga kadhaa ila sijawahi kufanikiwa
.Sasa si bora huyo Sangoma niliwahi kwenda kwa mchungaji fulani tegeta ni mama hivi katika mazungumzo yetu aliniambia eti matatizo yangu yanatokana na jina langu Hahahaha nilicheka sana kimoyomoyo mchungaji anatoa ushauri wa kigangaganga Hahahaha akaniombea pale wapjii
Niliwakuta wanafanya mazingaombwe mara wakatupaka dawa ili tuone miujiza yao. Hapo niko kidato cha tatu.
Hawakufanya tuone kitu badala yake wakasema kila aliyepakwa dawa awafuate au wakivimba mikono baadae wasijelaumu.
Mie huyoo nikaunga tela kuwafuata huko uchochoroni ngarenaro hadi walipokuwa wana 'ofisi' yao.
Kuna dada akaingia nikasikia analalamika yeye ni housegirl na bosi anamnyanyasa hivyo anaomba bosi atengenezwe.
Kuna mzee akaingia nikasikia analalamika amezulumiwa shamba hivyo waliomzulumu watengenezwe.
Wakaendelea watu wengi mie bado naogopa.
Ikafika ndo nimebaki wa mwisho nikaingia. Nikakuta jamaa amekaa kitandani kumejaa maburungutu ya hela na matungyli na hirizi kadhaa. Akaniuliza nataka nini nikamwambia sina shida yeyote ila kwa kuwa wamesema aliyepakwa dawa aende na mie ndo nimefika.
Akanihoji endapo ningetaka fedha kwa ajili ya shule. Nikamwambia sihitaji maana sitakuwa na jibu la kuwapa wazazi kuhusu nilipotoa. Akaniambia niweke sikio kwenye moja ya tunguli nisikilize mizimu inasemaje. Nikatega sikio huku kichwa kimemuelekea yeye hivyo siwezi kumuona. Mara nikasikia sauti zisizoeleweka nikataka kutoa sikio akanishikilia kichwa. Nikawa nahojiwa na mizimu kama inisaidie kufaulu n.k kisha nikasikia kama inasema niweke hela niliyo nayo pale. Nikageuka kwa kasi nikakuta jamaa ana microphone mdomoni ikabidi niipotezre kama sijaona kitu maana kwa watu pale. Ikabidi niseme sina hela isipokuwa mia mbili tuu. Basi nikaiweka hiyo miambili na kusepa.
Hadi leo siamini katika uganga.
.Kwanini MGANGA WA KIENYEJI HAKUAGIZI SAMAKI???
Tuanzie hapo kwanza[emoji1321]
.sasa kama hutakaa ukanyage uko kwanini waulizia mambo ya uko?...ya kaisari muachie kaisari atiii yakheee
Hamna dawa hapo.Wangapi wanaachana na kurudiana bila madawa?Msema kweli mpenzi wa mungu.nilishakwenda kwa mganga.kwa ajili ya demu.tulikuwa wapenzi ghafla aka badilika.akawa mgumu kinomaaa.hanipendi tena.niliumia.kuna rafiki yangu yeye ni mganga nikamueleza akasema tulia atarudi.
Tukafanya Mandingo mixer kuoga njia panda usiku.kuchoma sana UDI.kupasua Nazi n.k
Kiukweli demu alianza kubadilika na kuanza kuongea na Mimi.Mara salam n.k.
Siku zikapita tukarudi tena kwenye penzi.ila hatukudumu tuliachana.
Ushauri kama MTU hakupendi ACHANA NAE.MADAWA HUISHA NGUVU.
😀😀😀😀Tulienda kuroga ili timu ya mtaani ishinde ligi. Hatukushinda.
Wale wazaramo walinambia Kama hatuendi kwa mganga kuroga basi hawachezi mpira,nami nilikua kiongozi wa timu.
Aisee, uliutumia ule msemo wa wahenga;Wajinga ndio waliwao.Ulianza anzaje???Dada wa kisouth anapitia asubuhi namuweka dawa za tumbo na jioni anapitia tena anaopata dawa ...kwa siku saba...kwa ajili ya kumtoa mikosi na uchawi uliopo tumboni mwake..hiyo ni baada ya kumuwekea yai lenye nywele , damu,nyuzi za nguo,sindano na vipande vya viwembe..yai tunaliunga vizuri na super glue halafu tunaliweka uji wa mshumaa...yaani kazi inafanyika kwa weledi mkubwa na hutojuwa km yai lilikatwa na kuungwa tena...ukija na yale mayai yako tuliyokuagiza...tunakwambiya weka mkono kwenye mayai yale NUIA SHIDA ZAKO...baadae ndy tunakubadilishia moja ktk yale mayai 3....then tunakwambiya uvunje yale mayai ,ndy hapo utakapokutana na yai lenye uchafu wa viwembe,damu,nyuzi za nguo,sindano,Basi hapo ndy anapoanza kuchanganyikiwa MDADA wa watu....kama ni mzuri na unamtaka UMTAFUNE ndy hapo unampa masharti..kwamba sababu karogwa,,na ana UCHAFU ndani ya tumbo la uzazi,inabidi awekwe DAWA ambayo itakuwa inawekwa kwenye UUME wa mwanaume YEYOTE lakini sio MUMEWE au MPENZI wake...unamtengenezea mazingira ya ugumu wa kupata mtu wa kumuingiza dawa. .mwishowe anakwambiya MGANGA NISAIDIE PLZ..ndy hapo dawa inapoanza kuwekwa kwake kwa njia ya MGEGEDO....hadi siku 7 zikifika za doze...mshakuwa wapenzi....hakauki kwa mganga hadi kero..maana nataka nitoe doze kwa wengine yeye anakomaa tu....basi mkuu kuna mengi sn tumepitia ktk kutafuta. Na zipo mbinu nyng za kudanganya watu na sio mganga wa kweli.....uongo tu