Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
- Thread starter
- #241
Bwana FUSO endelea kua gari la kuwabeba hao mizigo siku ingine yako ikinoki utajuta nakwambia single mom hawanaga shukrani na hivyo vitoto vyao vikikua usitarajie Kama vitakujali kamwe kwanza vinaanzaga kuweka status vikifika chuo "niliteseka Sana kuishi na baba wa kambo thanks my mom kwa kunilea na kunipa mahitaji yote"
Utajuta kujifanya Mtanzania mwema!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
‘ Eti thanks mom kunilea na kunipa mahitaji yote ‘ haha [emoji23]. Hizi ni komment za mademu hasa hasa na wavulana ambao ni hamnazo. Tuendelee kuwaza vizuri tu wakuu wapo watu humu wamelelewa vizuri na mama zao waliwalea vyema kiasi kwamba hawezi kupuuza mchango wa Baba wa kufikia. They’re all not the same, let’s not be conclusive