eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
Kabisa yaaani 😀😀😀nakiporo atapasha😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaaani 😀😀😀nakiporo atapasha😂
Hahaha itakuwa mkuu anataka kutuaminishia single mother ni bora ajiulize kwanini kwenye ukoo wao wameoa wanawake wabichi na si masingle mother's akipata jibu wala asije kutuuliza hapa sisi habari za kuoa Single mother, kichagga kuna jina kijana anaitwa akioa Single MotherWe unaonekana umepata singo maza Sasa unajifariji subiri yakukute utautoa ushuhuda wewe mwenyewe hata kama siyo hapa JF utaenda kuwa shuhuda kwa wengne huko mtaani
Hahahhah wewe ni mjanja sana kwani ukisema unaishi ma single mother utapungukiwa na niniHapana Mkuu, niliyenaye hana mtoto ila ikitokea huyu akazingua nitahamia kwa single mother.
That True mkuu. Watu wanabisha tu wengine tumeona na kuishi nao. Ngoja apate mchongo kama utamwambia kitu au atakukumbuka kwa lolote moyoni amewaweka wanaume wengi. Yaani ni shida. Kuoa mwanamke single mother kwa HURUMA eti kwa sababu amekueleza shida anazo pitia na mwanae na kumbeba amini haitachukuwa mienzi sita utaanza kuona mapungufu yakeNenda kamuulize mzee Abdul alikubali kulea mimba ya Nasibu na akamlea had akafika umri wa kujiunga na elimu ya secondary lakn Leo hii diamond ana pesa na ameamua kuungana na mama yake kumkataa mzee Abdul mbele ya vyombo vya habari hawakumbiki hata chembe ya wema wake na mtt kaamua kubadili jina anajiita mtoto wa Nyange, wakat maisha yake tangu mama akiwa mjamzito alikaa na kulelewa kwa mzee abdul
Singo maza ni laana na ni nyoka mwenye sumu kali ukiona anaish na ww ujue yupo hapo kwasababu ya hali ngumu ya maisha na siyo mapenzi siku akiwa vizur kiuchumi atakudhalilisha kinoma
(a) kuwa na namba ya simu ya baba mtoto ( atakuambia kufuatilia malezi ya mtoto au anataka kuongea nae)Changamoto zao kama zip mkuu?
Kimbia mapema sana kama ni mke unatafuta unapoteza muda hapo. Ndio nimeona hii comment nyingine kumbe uko nae! Changamoto ndio hizo nimekuorodheshea hapo baadhi tu.Nikwel Nina single mother kaniambia Baba mtoto wake kamtelekeza na mtoto na shangaa namba zake anazo na wanawasiliana
Wewe waowe mtu unamueshimisha amezalishwa unamlelea mwanae unamsomesha bdye mtu anakuja kukuacha kisa aliyezaa naye kasema anataka kuishi nayee aisee mkuu Acha kabisaMjiulize swali moja tu, single mother amekua single mother kwa sababu gani? Naona generization tu kuwa hawafai. Wangapi wanatoka kwenye ndoa zenye manyanyaso na watoto wao kwa ajili ya kuokoa nafsi zao? Leo hii anakuta anaitwa mtu wa hovyo na hathaminiki kwenye jamii?
Imagine wewe ni mtoto ambae mama yako ameondoka kwny ndoa kwa ajili ya kuwapigania leo utamuita wa hovyo na laana? Its a shame totally shame upon you guys.
Wangapi wamedate na hao hawajazaa wametendwa ? wanawake wangap wanadanga ilhali hawajazaa? Tabia mbovu ni tabia mbovu tu haijalishi kuwa ni single mother au lah!
Nyinyi kama wanaume mnajua kabisa uongo mnaotumia kumnasa mwanamke na maskin binti akajua ni upendo lakin mwisho wa siku akaachwa na mimba.Kauli kama hizi ndo zinapelekea mabinti wengi hata wenye tabia njema kufanya abortion mana anajua ataitwa laana huko mbele.
Ikiwa jamii yenye wasomi we have to change. Let love lead na sio makasoro ya kuitana laana kisa malaika walioletwa duniani.
Peace!
mnachokiongea hakifanyiki kwa wote, wanawake wangap hawajazaa wanaacha ndoa zao wanarudiana na ex zao. M kuna mdada namjua yan imekaribia send off ndo anasema hamtak jamaa kisa kapata mwanaume mwingineWewe waowe mtu unamueshimisha amezalishwa unamlelea mwanae unamsomesha bdye mtu anakuja kukuacha kisa aliyezaa naye kasema anataka kuishi nayee aisee mkuu Acha kabisa
sio wote jaman ahTatizo wakikutana na waliowazalisha uwa wanawapa papuchi.. Masikini hana msimamo
Hiz spana zinazopigwa humu lazima tu uombe poo.[emoji23]Guys lets be nice a bit.Tuna watoto wakike remember...n sisters as well
Kishoia 😅Hahaha itakuwa mkuu anataka kutuaminishia single mother ni bora ajiulize kwanini kwenye ukoo wao wameoa wanawake wabichi na si masingle mother's akipata jibu wala asije kutuuliza hapa sisi habari za kuoa Single mother, kichagga kuna jina kijana anaitwa akioa Single Mother
Ni kweli sio wote ila probability ya kumpatia mbususu mwekezaji wa awali ni 90% kumbuka kuna bao lenu linalodunda uraiani na ndilo linawaweka karibu!sio wote jaman ah
Nenda kamuulize mzee Abdul alikubali kulea mimba ya Nasibu na akamlea had akafika umri wa kujiunga na elimu ya secondary lakn Leo hii diamond ana pesa na ameamua kuungana na mama yake kumkataa mzee Abdul mbele ya vyombo vya habari hawakumbiki hata chembe ya wema wake na mtt kaamua kubadili jina anajiita mtoto wa Nyange, wakat maisha yake tangu mama akiwa mjamzito alikaa na kulelewa kwa mzee abdul
Singo maza ni laana na ni nyoka mwenye sumu kali ukiona anaish na ww ujue yupo hapo kwasababu ya hali ngumu ya maisha na siyo mapenzi siku akiwa vizur kiuchumi atakudhalilisha kinoma
Huyo mzee awekewe ulinzi
Dada yangu ni single mother hali ni tete imebidi kaka zake tugawane watoto wake. Mmoja nimemchukua mimi namsomesha ni kichwa kweli kweli darasani anawakimbiza kisawasawa. Kwa upande wa elimu bila shaka atafika mbali sana. Mungu amsaidie.
Dogo amekua baraka sana kwangu tokea nimeanza kumuhudumia mambo yangu yananiendea vizuri sana. Baba yake yupo anapiga masanga tu na siku akijichanganya eti anamtaka mtoto nitamlima vichwa vya maana.