Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Ukitokea msiba ukweni unashindwa hata kua karibu na mkeo. Utasikia mzazi mwenzie yule amekuja. Uchebe linakuja kumpa pole mkewako. Kiufupi kaolewe ulipobeba mimba

Mkuu nakuona unaandika kwa makasiriko sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Punguza hasira Mkuu
 
Kwani niwaulize swali kwani ndoa nyingi zinavunjika sana nenda mahakamani ko wote walioa single mother au wan awake wa kizazi hiki ni mtiahani kama ilivyo wanaume
 
Hiz spana zinazopigwa humu lazima tu uombe poo.😂Guys lets be nice a bit.Tuna watoto wakike remember...n sisters as well
 
Nenda kamuulize mzee Abdul alikubali kulea mimba ya Nasibu na akamlea had akafika umri wa kujiunga na elimu ya secondary lakn Leo hii diamond ana pesa na ameamua kuungana na mama yake kumkataa mzee Abdul mbele ya vyombo vya habari hawakumbiki hata chembe ya wema wake na mtt kaamua kubadili jina anajiita mtoto wa Nyange, wakat maisha yake tangu mama akiwa mjamzito alikaa na kulelewa kwa mzee abdul

Singo maza ni laana na ni nyoka mwenye sumu kali ukiona anaish na ww ujue yupo hapo kwasababu ya hali ngumu ya maisha na siyo mapenzi siku akiwa vizur kiuchumi atakudhalilisha kinoma
 
Kuna mzee mmoja nimewahi kukutana nae aliniambia maneno haya

"Usioe mwanamke kwa kumuonea huruma mfano umekaa nae kwa kipindi kirefu ila kama kuna vitu umeona havifai na umejitahidi aviache, na vimeshindikana basi hata iwe vipi usioe kwa huruma"

Huyo mzee awekewe ulinzi
 
Dada yangu ni single mother hali ni tete imebidi kaka zake tugawane watoto wake. Mmoja nimemchukua mimi namsomesha ni kichwa kweli kweli darasani anawakimbiza kisawasawa. Kwa upande wa elimu bila shaka atafika mbali sana. Mungu amsaidie.
Dogo amekua baraka sana kwangu tokea nimeanza kumuhudumia mambo yangu yananiendea vizuri sana. Baba yake yupo anapiga masanga tu na siku akijichanganya eti anamtaka mtoto nitamlima vichwa vya maana.
hahahahahahh safi sana mkuu
 
'wengi' wapo ivyo ,singo maza LAZIMA awe na namba ya mzazi mwenza ( kama yupo hai )

wana maintain mawasiliano ili ' kulea mtoto ' na hapo ndipo utata unapoanzia
Nikwel Nina single mother kaniambia Baba mtoto wake kamtelekeza na mtoto na shangaa namba zake anazo na wanawasiliana
 
Nenda kamuulize mzee Abdul alikubali kulea mimba ya Nasibu na akamlea had akafika umri wa kujiunga na elimu ya secondary lakn Leo hii diamond ana pesa na ameamua kuungana na mama yake kumkataa mzee Abdul mbele ya vyombo vya habari hawakumbiki hata chembe ya wema wake na mtt kaamua kubadili jina anajiita mtoto wa Nyange, wakat maisha yake tangu mama akiwa mjamzito alikaa na kulelewa kwa mzee abdul

Singo maza ni laana na ni nyoka mwenye sumu kali ukiona anaish na ww ujue yupo hapo kwasababu ya hali ngumu ya maisha na siyo mapenzi siku akiwa vizur kiuchumi atakudhalilisha kinoma
Washenzi hawa
 
Usioe single Mother wengi wana laana. Mfano unaoa single Mother ambaye kazalishwa na mume wa mtu huyo ana laana ya kuingilia ndoa ya mwanamke mwenzake na kumpa maumivu. Hawa hawafai kbs, kwanza unaanzaje kuoa jitu limeshatimba huko halafu anakuja kwako hapana kwa kweli. Piga vita kuoa single Mother(PIVIKUSIMO)
😂😂😂😂
 
Kwa taarifa yako, mwanamke aliyezaa amekuthibitishia tayari kuwa ana uzazi na atakuzalia watoto. Hao unaowaita "wasichana wabichi" wametoa mimba nyingi na unakutana naye alishaharibu kizazi kwa abortions au kutokana na magonjwa ya zinaa na hana uwezo wa kuzaa tena. Danganyika na muonekano wa nje ujute milele..,.
Vitisho
 
"Mwanamke aliye na mtoto na hana mume "

Unamaanisha nini? Huyo mtoto kampataje? Labda kama mume wake awe ameshafariki na hapo tunaongelea mama mtu mzima kabisa.

Kiufupi tu mkuu huyo mwanamke halali yake ni huyo aliyemjaza mimba.
 
Wewe umeoa singo maza?

Tuanzie hapo kwanza
hapana mkuu nimekutana nayo zaidi ya mara mbili wadada wanawaletea dharau wanaume wanaotaka kua nao seriously kisa tu anakibwana kina kagari halafu mume wa mtu mwisho anapigwa mimba anakua single maza baadae anaanza tafuta huruma mara oooh Kama unanipenda Mimi mpende na mwanangu
Hapo ujue alitelekezwa na alichokitafuta hakukipata anaanza kua na frustration kutwambia wanaume wote mbwa tu wakati alijua kabisa anapotea!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni kweli mkuu niko na dem wa hivyo ana sponsor aliyemzalisha mume wa mtu zamani naona amemuonea huruma amempeka chuo cha ususi na anajua hawezi kumuoa tena. Ananiambia mimi nimuoe huyo mzee walishaachana nae siku nyingi amenamsomesha tu na kumlipia fees mbalimbali
 
NAWAPENDA PIA SINGLE MOTHERS… [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]. Najua wapo wanasoma hizi comments na wanaogopa kutoa neno ila mjue tu tunawapenda sana na kuwaoa tutawaoa. I love you guys, wako vizuri sana.
Kwahiyo wewe kipimo cahko cha mwanamke bora ni kuwa Single Mother? Hujitambui
 
Back
Top Bottom