Hplp2275H
JF-Expert Member
- Jan 21, 2021
- 556
- 1,660
Umeua.Inatagemea na akili ya huyo single mother, ngoja nikuambie kitu. Kwa mwanamke aliyesawa kichwani kisawa sawa hawezi kuruhusu utopolo wa namna yoyote kutoka kwa Mzazi mwenzie uingilie ndoa yake. Mwanamke anayejua makosa yake na ameamua kurekebisha, mzee baba amini nakuambia single mothers wana akili sana kuliko hawa waliotoa mimba.