Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 268
- 568
single mothers wa zaman VS wa sasa
mkuu unachanganya mambo,au huelewi nini?
single wa sasa ni pasua kichwa..
mkuu unachanganya mambo,au huelewi nini?
single wa sasa ni pasua kichwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wapuuzi wapo....unapuuzia tuu...Unapotumia lugha ngumu kwa watu pia na kwako watatumia hiyo hiyo lugha ngumu.. irudie kusoma komenti yako
Sasa kwani akibeba mimba unaondoa fact kwamba tunakiuka amri ya muumba?Acha kuvunga vunga Mkuu..! Labda nikuulize swali hapo hapo, Una msichana unaye date naye kwa sasa ??
Kama unaye, naamini mnafanya sex na kwa uhakika zaidi mnapigaga game bila kondomu ..! Hebu chukulia huyo demu wako akabeba Mimba unafanyaje ??
wakikuwa, baba mlezi unaonekana rubbish.......mifano tunaiona.Yani mtoto wa single mother anaumwa usiku naanza kuwasha gari nampeleka hospitali nikiwa na mke wangu. Mm hata ukiniroga sioi. Alafu vikifika chuo vinaanza nililelewa maisha ya shida sana na baba wa kambo. Thanks to my mom.
hapana mkuu nimekutana nayo zaidi ya mara mbili wadada wanawaletea dharau wanaume wanaotaka kua nao seriously kisa tu anakibwana kina kagari halafu mume wa mtu mwisho anapigwa mimba anakua single maza baadae anaanza tafuta huruma mara oooh Kama unanipenda Mimi mpende na mwanangu
Hapo ujue alitelekezwa na alichokitafuta hakukipata anaanza kua na frustration kutwambia wanaume wote mbwa tu wakati alijua kabisa anapotea!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
singo maza ? labda mzazi mwenziwe afe na kaburi lake nilione ( ntahitaji vithibitisho zaidi pia )
la sivyo
utagongewa kmmmk
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwani wote wako hivyo Mkuu ??
Hii lazima awe na namba Ni kichaka Cha kujifichia Ili kuwananga singo Mama's.'wengi' wapo ivyo ,singo maza LAZIMA awe na namba ya mzazi mwenza ( kama yupo hai )
wana maintain mawasiliano ili ' kulea mtoto ' na hapo ndipo utata unapoanzia
SM nawanyooshea mikono juu. Mtoto amerudi nyumbani imepungua laki tatu kwenye ada. Baba yake nimempigia sim naona anazingua tu. Unajua huyu mimi sinaga nae story labda inshu za ada ndio nampa sim aongee na mwanae. Jamani mm baba yangu nambishiaga mambo mengi. Ila ushauri alionipa nisioe SM niliupokea kwa mikono miwili. Hawa sio watu kabisa wanagawa familia vipande vipande ukoo wako unakua haueleweki. Hata mali za familia unatengwa upewi. Sherehe ya mtoto wake ukweni linakuja dume jenzio limepiga tai alafu mtoto anaomba picha ya baba na mama. Aaaaah hiki kinyaa bora niishi bila Ku.to. MBA maisha yangu yote.
Jeff bezosHakuna kitu kizuri kama kutunza watoto wa kufikia - ni wasikivu na wengi wao wana adabu mno!!