Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Yani mtoto wa single mother anaumwa usiku naanza kuwasha gari nampeleka hospitali nikiwa na mke wangu. Mm hata ukiniroga sioi. Alafu vikifika chuo vinaanza nililelewa maisha ya shida sana na baba wa kambo. Thanks to my mom.
 
twenti wani senchuari single mom wanaviburi Sana isee utasikia wanaume wote ni mbwaaaaa
Wakati lenyewe ndio jibwa lililojilengesha kwa mme wa mtu likapata mimba huku likijua fika ataenda kua single mom tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na hao wanaosema hivyo mna tofaauti gani sasa?
Si wote waliojilengesha kama unavyosema. Walakini kwa takwim za kuwa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume hakuna namna ni lazima wanawake watalazimika kuingilia mahusiano ya wenzao au la unawish wale wanaokosa waangukie ulesbian.
Kama kuna aliyekukosea mmoja usiwatupie mzigo wote.
 
Mkuu naona umekuja kuwatetea single mama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
 
Baba angu anakauli yake, ukioa chuma chakavu mwanangu tusijuane katika maisha haya

Usiwe general sana Mkuu..! Sio wote wana hizo tabia na hii pia inategemea na vile unaishi naye au umekuishi Mkuu.
 
Mkuu sioni hoja hapo, naona kama mnashaadia mambo ya hovyo hovyo tu ikiwemo kutoa mimba na kuongezeka kwa watoto wasiopata mahitaji yao muhimu ikiwemo malezi ya kutoka pande zote mbili. We need to change the way we think about single mothers, there’s nothing wrong and where do you guys get these guts aseee [emoji849][emoji849][emoji849]
Na ww ni single mother ama ni product ya single mother. Mimi sioi laana kum hao.
 
Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
Kila mtu anamtazamo wake na chaguzi zake mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na hao wanaosema hivyo mna tofaauti gani sasa?
Si wote waliojilengesha kama unavyosema. Walakini kwa takwim za kuwa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume hakuna namna ni lazima wanawake watalazimika kuingilia mahusiano ya wenzao au la unawish wale wanaokosa waangukie ulesbian.
Kama kuna aliyekukosea mmoja usiwatupie mzigo wote.
hakuna Cha wanaume wachache Wala Nini hivi unawajua walivyo viburi na jeuri wadada kama hao wengi hua wanakua na tamaa ya vitu vya kupita hata pindi wakiwa wabichi hata akitokea mtu serious anataka kumuoa na ana Nia ya dhati atamtolea nje kisa tu kuna mume wa mtu ana chochote kitu hawatabirikagi hao unaowatetea!
 
Hili la mume wa mtu mkuu umelikazania kinoma noma, uliwahi achwa ama vipi ? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom