Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Kipi cha kufurahia hapo mkuu..!?? Ni mbaya sana hii, we need to be liberated psychologically. Yaani umelelewa na single mother alfu umekuwa mkubwa unakuja kuwachukia single mothers kwa nini ?? I don’t see the reason for this..!
Hampendi mama yake na hii ni laana ....SIMPLE!!!
 
Usioe single Mother wengi wana laana. Mfano unaoa single Mother ambaye kazalishwa na mume wa mtu huyo ana laana ya kuingilia ndoa ya mwanamke mwenzake na kumpa maumivu. Hawa hawafai kbs, kwanza unaanzaje kuoa jitu limeshatimba huko halafu anakuja kwako hapana kwa kweli. Piga vita kuoa single Mother(PIVIKUSIMO)

Mkuu sioni hoja hapo, naona kama mnashaadia mambo ya hovyo hovyo tu ikiwemo kutoa mimba na kuongezeka kwa watoto wasiopata mahitaji yao muhimu ikiwemo malezi ya kutoka pande zote mbili. We need to change the way we think about single mothers, there’s nothing wrong and where do you guys get these guts aseee [emoji849][emoji849][emoji849]
 

None sense, Jibu hoja kwanini unamchukia single mother hadi unadiriki kusema hutaoa single mothers wakati wewe unelelewa na single mother ?? Hebu chukulia mama ako asingepata pata support kutoka kwa mahawala zake .!? Unawaza vile maisha yako yangekuwaje huenda hata usingekuwa hapo leo .!
We need to change the way we think..!
 
Zamani hatukuwa na utamaduni wa kucheka kilema cha mtu lakini kadri siku zinavyokwenda hii tabia inazidi kukua(single mom si kilema nimechukulia kama mfano). Unamnanga mtu kwa mapungufu aliyonayo huu ni ukatili na pia ni kujitafutia laana. Bahati mbaya wengi mkipigwa laana huwa hamtambui mnadhani mmelogwa.

Ukumbuke hadi anakuwa single mom ni kwasababu ya mwanaume kama wewe unaejitokeza hadharani kumdhihaki madada hawa ambao ukute ni pis kali kushinda ndugu zako wote wa kike.

Ameshakuwa single mom, kama huwezi msupport usimnange basi.
 
Wangekuwa ni single maza wale wa enzi zile za mama zetu sawa ila hawa wa twenti senchuali my dear brother utapata heart attack ambayo hujawai ipata tangu uzaliwe
twenti wani senchuari single mom wanaviburi Sana isee utasikia wanaume wote ni mbwaaaaa
Wakati lenyewe ndio jibwa lililojilengesha kwa mme wa mtu likapata mimba huku likijua fika ataenda kua single mom tu!
😂😂😂😂
 
Wakaolewe na waliowazalisha exception kwa widows pekee. Na kama wewe ni baba huruma pita kwenye vituo vya yatima ukawasomeshe na kuwatunza
 
Pamoja na maelezo yako yote
Pamoja na kwamba mama yangu pia amenilea akiwa single mom
Lakini Mimi sitakuja kufanya Hilo kosa la kuoa single mom labda km na Mimi tayari Nina watoto wawili


Ila bado Sina mtoto usinizungue mabint kibaooooo wabichi wakunizalia first born
ukioa single maza unakuwa na uhakika kwamba anacho kizazi tayari
 
Yosefu alipoona Mariam ana mimba alitaka kumwacha kwa Siri mpka malaika akaingilia Kati kumtetea , unafki yosefu alikosea ? Single mom hatakiwi kuolewa kabsa Ni chukizo kwa Mungu

Akili yako haiko sawa Mkuu.! Unaweka dini mbele kuliko uhalisi na ukweli. It’s battle between Attitude Vs Facts
 
Wakaolewe na waliowazalisha exception kwa widows pekee. Na kama wewe ni baba huruma pita kwenye vituo vya yatima ukawasomeshe na kuwatunza

Half way to Misogynistic comment
 
Kama unawapenda....Oa wewe!

Acha kususa Mkuu.! Tujadili maada hapo, Mnazingua sana washikaji. Yaani mtu umelelewa na singke mother, ila leo umekuwa mkubwa basi wanawake walizalishwa unawaita malaya na majina mengine. Kama hao ni malaya, huenda pia Mama zenu walikuwa malaya. Hii sio kwa wewe tu ila najadili na wote walio na négative notion juu ya single mothers
 
Back
Top Bottom