Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Hili la mume wa mtu mkuu umelikazania kinoma noma, uliwahi achwa ama vipi ? [emoji23][emoji23]
hapana mkuu nimekutana nayo zaidi ya mara mbili wadada wanawaletea dharau wanaume wanaotaka kua nao seriously kisa tu anakibwana kina kagari halafu mume wa mtu mwisho anapigwa mimba anakua single maza baadae anaanza tafuta huruma mara oooh Kama unanipenda Mimi mpende na mwanangu
Hapo ujue alitelekezwa na alichokitafuta hakukipata anaanza kua na frustration kutwambia wanaume wote mbwa tu wakati alijua kabisa anapotea!
😁😂😂😂
 
Mtaoa tu lakini sababu mpaka kufikia 2030 hamna demu ambaye atakuwa hana mtoto kabla ya kuanza chuo kikuu
Na kadri muda unavyozidi kwenda inakuwa ni Jambo la kawaida mabinti kuzalishwa wakiwa home ..ila Wana stress sana hawa viumbe..na wanataka kulazimisha uingie kwenye majukumu ya ubaba haraka haraka bila kukaa chini na kudiscuss mtalea vipi..na baba mtoto mko nae vipi..ukioa single mother ujue umeoa mke wa mtu
 
Mzee wako naye ana akili za hovyo tu, kwahiyo dada ako akipigwa miti akabeba mimba na kujifungua ni Chuma chakavu. Tras
Anakuwaje Chuma chakavu nakati siruhusiwi kumuoa yeye ni chuma chakavu kwa anaye ruhusiwa kuoa.

Haya mambo utafeli ukiyachambua eti Mke wako ufananishe na mamayako, dadayako nk kisa wote wanawake...Eti nisime mwanamke huyu hanivutii uje useme na dada yako akiambiwa na mtu huko hamvutii utaridhika mfano wa kipumbavu ndicho munachokifanya wewe na mtoa mada.
 
Dada ako pale nyumbani ni nuksi au yule mama ako mdogo ni nuksi au Shangazi yako yule wa kule Naye ni nuksi ??
Think twice brother
Sasa hao anaweza kuwaoa au wewe unaoa Dada zako na shangazi zako ??
 
Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
Mkuu unakula dadaaako na mamazako nini suala linahusu kuwa na mapenzi na Single Mother wewe unaleta mifano ya dada na mama kuna uhusiano hapo....kwa akili yako mamayako kama alitembea nje ya ndoa basi ni sio kosa kwa mpenzi wako kuChet nje ya ndoa.

Elewa nafasi za Ndugu na nafasi za watu wenhine Mf Mpenzi usije changanya.
 
hakuna Cha wanaume wachache Wala Nini hivi unawajua walivyo viburi na jeuri wadada kama hao wengi hua wanakua na tamaa ya vitu vya kupita hata pindi wakiwa wabichi hata akitokea mtu serious anataka kumuoa na ana Nia ya dhati atamtolea nje kisa tu kuna mume wa mtu ana chochote kitu hawatabirikagi hao unaowatetea!
[emoji23] pole bana, lakini single mother wengine walibakwa, wengine waliachwa tu kwasababu ambazo ni tofauti na hizo. Wengine kweli jeuri (hawa wengi ni pis za ukweli kama Kajala) lakini wapo wenye tabia zao nzuri kabisa.
Kama bado haujaoa na kuna single mother umemwelewa basi usiudhulumu moyo wako,, chukua chombo weka ndani.
 
Yosefu alipoona Mariam ana mimba alitaka kumwacha kwa Siri mpka malaika akaingilia Kati kumtetea , unafki yosefu alikosea ? Single mom hatakiwi kuolewa kabsa Ni chukizo kwa Mungu
Napigilia msumari hapa [emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Tatizo sio vijana tatizo wazee wanaweka BIG NO sasa utaendaje kumtambulisha huyo bibiye.

Ni sawa na wanawake wenye misambwanda hawaolewi kwa wingi sababu unaendaje mtambulisha huyo bibiye wazee wanajisemea mwenetu mpenda chura kama [User]Behaviourist[/User] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini kuna neno kwenye biblia lilishatuonya kwamba ,TUIKIMBIE ZINAA usingekuta haya mambo ya blah blah za single mothers n.k. lakini sisi binadamu ni vichwa ngumu hatuelewi yaani .
Hizi ligi za kusema sijui single mothers tuoe ,dah hapana kwa kweli. Nasema hivyo mimi nikiwa ni mfano wa mtoto niliyelelewa na single mother.kuna mambo fulani fulani yameniathiri kisaikolojia kutokana na kulelewa na mzazi mmoja.
Na pia hata ukisema unaoa single mother je wewe unadhani wale watoto ulio wakuta naye utawapenda kama wa kwako? Hapo tayari ni tatizo kwa kuwa mizani ya upendo haita balansi kwa watoto.hilo ni tatizo la kisaikolojia ambalo litagharimu kizazi chako for many years to come .
Binafsi single mother hapana aisee.
Kama nataka familia (kama ni lazima) nitaenda kwenye vituo vyao kulelea yatima.
Na kama ni uhitaji wa ngono itabidi niende sehemu zao specific lakini sio single mother ..
Single mothers wanapandikiza chuki mbaya sana kwa watoto kiasi kwamba inakuja kuleta shida sana baadaye kwenye familia hadi ukoo.
 
Kila mtu acheze na kushinda mechi yake!

Nadhani nimeeleweka vema.
 
Nimekuja na maada tujadili na sio mambo ya kuwatetea single mothers. Hii hate juu ya hawa akina mama inatoka wapi ?? Wakati sisi wenyewe ni watoto wa single mothers, tuna dada zetu single mothers na tuna mademu single mothers ila tukiambiwa kuwaoa tunaongea shits. Eti mi siwezi kuoa single mother, seriously ? Na mpaka mnathubutu kuwaita majina ya kuwadharirisha na mnaupa thumb up Upuuzi wa kutoa mimba.
Mkuu sidhani kama watu wengi wanawachukia hao single mothers, mbona kuna shuhuda mbali mbali huku jf watu wanatoa kua wanakuanao kwenye mahusiano.
Nafikiri tu ni swala la preference, idadi kubwa ya watu wanapenda kua na fresh start.
Na huwezi kujudge kwanini watu wanaprefer hivo kwasababu its natural,
Wewe mwenyewe unapenda fresh start.
 
HUYO single mother KAJITOMB** mwenyewe??....tatizo mkioa hamji kusema......pumbafuuuuu
 
Mkuu umeongea kama yashawahi kukukuta, ila kwenye ndoa mambo hayana formula, zipo baadhi ya ndoa na nazifahamu siwezi jua kiundani ila nawaona wako vizuri na ni watu wazima.
Hata kwenye hizi ndoa zetu za freshers bado changamoto zipo.
Wala hayajawahi kunikuta maana mimi sio muumini wa single mother kabisa.
Kuliko nioe SM ni bora nibaki bachela tu.

Ndoa ya fresher na SM ina changamoto nyingi kuliko ya freshers pekee. Hususani baba wa mtoto akiwa hai ni lazima tu watahitaji kukutana aidha kwenye ugonjwa wa mtoto, kipaimara, ubatizo, graduation ya mtoto wao.

Na kwenye kusherehekea mafanikio ya mtoto wao ni lazima wapashe kiporo tu hakuna namna.

Mtoto ni kiunganishi kikubwa sana kati ya mama na baba hususani wote wangali hai....haijalishi walitengana kwasababu zipi mtoto anaweza kuwarejesha pamoja muda wowote.
 
Madam usiwe na hasira vuta pumzi Halafu kunywa na maji
jaribu kutambua unaeongea nae kwanza hujatamka lolote... ni ustaarabu tu...hata kwa kuuliza...hili ni jukwaa la wastaarabu...
 
jaribu kutambua unaeongea nae kwanza hujatamka lolote... ni ustaarabu tu...hata kwa kuuliza...hili ni jukwaa la wastaarabu...
Unapotumia lugha ngumu kwa watu pia na kwako watatumia hiyo hiyo lugha ngumu.. irudie kusoma komenti yako
 
Back
Top Bottom