Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Single mother wengi hawajitambui labda wale waliogongwa na maisha vizuri[emoji851][emoji851][emoji851]!!!Hawa single mother ambao wamekumbatia usista duh wengi ni wadangaji ila wanataka waonekane ni super women!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], Mkuu kuna wadada ni wazuri na wanajiheshimu sana. Binafsi sipendi hawa wanaojisifia superwomen wakati huo huo wanademoralize wanaume wanazingua sana, na hawa ni wadangaji kama ulivyosema, ila kuna wadada kiukweli wametulia na wanajutia makosa yao na wako tayari ku make up maisha yasonge.
 
Single Maza muda wowote anaweza kurudiana na mzazi mwenzie mtoto ni kiunganisho mana baba kama anahitaji kuonana na mtoto wake ita bidi ampeleke
Misiba imetokea mkeo itabidi afike

Kutakuwa na shida mahala, itakuwa sio bure
 
Sio wote walikuwa wanadate na married men Mkuu, angalia kwa jicho jingine utaona uzuri wa hawa viumbe . Kuna wengine humu wameshazalisha mtoto wa mtu still mtu anakua na guts za kusema maneno hayo, sio poa wakuu.
Umeongea vizuri
 
Shida si kuwaoa, shida ni unaweza kuwavumilia changamoto zao?

Zinavumilika mkuu, kama sisi wanaume ambao unakuta umezaa na mwanamke nje wanatuvumilia kwa nini tusiwavumilie. Na shida walizo nazo hawa zaweza kuwa chache kuliko hata za Hawa Ambao mnawasema Wanaobao wa Bila bila.
 
Back
Top Bottom