Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

Inatagemea na akili ya huyo single mother, ngoja nikuambie kitu. Kwa mwanamke aliyesawa kichwani kisawa sawa hawezi kuruhusu utopolo wa namna yoyote kutoka kwa Mzazi mwenzie uingilie ndoa yake. Mwanamke anayejua makosa yake na ameamua kurekebisha, mzee baba amini nakuambia single mothers wana akili sana kuliko hawa waliotoa mimba.
Umeua.
 
unakutana na binti/mwanamke hajazaa Ila katoa mimba Hadi miso hazifanyi kazi.
unaoa muuaji ..si ni Bora alieamua kuzaa .

Yeaaah …! Bora huyu aliyeamua kuwa mwaminifu kwa Muumba wake. Alikosea kuchapwa mashine kabla ya ndoa ila hakuruhusu kosa jingine la kutoa mimba. Pamoja sana Mkuu
 
Hii lazima awe na namba Ni kichaka Cha kujifichia Ili kuwananga singo Mama's.
kwa nini iwe Ni lazima.
ni LAZIMA kwakua mtoto atataka malezi ya baba yake ' OG ', mtoto atataka kuongea na baba yake 'OG'

mtoto anataka kwenda kumuona baba yaje 'OG' mara moja moja, mama yake lazima ampeleke

wanapasha kiporo ukouko, papuchi inachakatwa, kisha inapigwa maji saafi kabisa, akirudi wewe mshika pembe wala hujui nini kimetokea
 
Hakuna kitu kizuri kama kutunza watoto wa kufikia - ni wasikivu na wengi wao wana adabu mno!!

Ahsante kwa maoni yako, ujue vijana wenzangu wa kiume wanahangaikq na maneno ya kusikia kutoka kwa watu ambao wamefanywa mbaya na hao single mothers. Na huenda kafanywa mbaya kwa sababu fulani yeye ndio kasababisha
 
Hii comment aione Redpanther kwenye file.

Nimeiona Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Lakini ukweli ni kwamba single mothers sio wakorofi kama tunavyowadhania. Ila tuna mtizamo hasi mnoo kwa hawa dada zetu. Mwanaume kuwa mtoto nje au kabla ya ndoa hatuoni shida ila kuwa mwanamke aliye na mtoto tayari tunaona shida.
Kuna shida mahali..! Ahsante kwa maoni yako Mkuu
 
'wengi' wapo ivyo ,singo maza LAZIMA awe na namba ya mzazi mwenza ( kama yupo hai )

wana maintain mawasiliano ili ' kulea mtoto ' na hapo ndipo utata unapoanzia

Suala la mwanamke hasa hasa huyu single mother kuwa na mahusiano ya siri na Mzazi mwenzake hiyo ni tabia ya mtu na sio wote wako hivyo. Wangapi leo hii hao ambao mnawasema hajazaa wana namba za ex wao ?? Na huenda hata hao watoto utakao wapata mkiwa wote wakawa na hiyo ex wake anakulaga mzigo kimya kimya bila hata wewe kujua.
 
Inatagemea na akili ya huyo single mother, ngoja nikuambie kitu. Kwa mwanamke aliyesawa kichwani kisawa sawa hawezi kuruhusu utopolo wa namna yoyote kutoka kwa Mzazi mwenzie uingilie ndoa yake. Mwanamke anayejua makosa yake na ameamua kurekebisha, mzee baba amini nakuambia single mothers wana akili sana kuliko hawa waliotoa mimba.
Kuna dada mmoja by profession Ni doctor.. alipata mimba kipindi hiko ndo anaanza kazi tuu kwa mwanaume ambaye yeye hakumpenda Ila zile kauli za kisa Mimi masikini ..au Sina hadhi ndo unanikataa za huyo sperm donor.
Basi akamkubalia jamaa .. akamchukuwa wqkaanza kuishi wote.. jamaa ndo alikuwa kamaliza chuo .. so mda wa mwaka mzima anaishi kwa mwanamke ..mshahara anapewa apange budget na Nini na Nini... Binti akanasa ujauzito.. Wakati huo akatoa Tsh milioni 3 jamaa apatiwe kazi kinyemela...
Jamaa haukupita mwezi kapata kazi ..mda wa kwenda kujitambulisha ili kuepuka matatizo ya ujauzito jamaa akaruka kuwa mimba siyo yake...
Just imagine kwenye familia ambayo Watoto wote 7 wakike wameolewa kwa Harusi binti akatia doa ...Baba yake hakumtupa .. kikao kikawekwa jamaa kapigiwa simu akawa anatoa matusi Kwamba hawezi zaa na Mtoto wao ..
To cut this story ni kwamba baada ya miaka mi2 kupita binti akaolewa ..kusikia hivyo hivyo mshenz akataka kurudisha majeshi na Tayari ameoa ..mara atake kuharibu ndoa, Akaulizwa Mtoto si ulimkataa na matusi juu pita hivi ..kuzidi kuleta chokochoko akaundiwa kesi Akaswekwa ndani miezi mitatu ... Alivyorudi heshima debe .
Mwanamke na mumewe mpya wakahama mkoa.
Ninawaheshimu Sana single Mama's.
 
Suala la mwanamke hasa hasa huyu single mother kuwa na mahusiano ya siri na Mzazi mwenzake hiyo ni tabia ya mtu na sio wote wako hivyo. Wangapi leo hii hao ambao mnawasema hajazaa wana namba za ex wao ?? Na huenda hata hao watoto utakao wapata mkiwa wote wakawa na hiyo ex wake anakulaga mzigo kimya kimya bila hata wewe kujua.

unaongea kinadharia sana, pengine hujawai date(au oa) singo maza na kuona mziki wake

singo maza ni pasua kichwa
 
Kuna dada mmoja by profession Ni doctor.. alipata mimba kipindi hiko ndo anaanza kazi tuu kwa mwanaume ambaye yeye hakumpenda Ila zile kauli za kisa Mimi masikini ..au Sina hadhi ndo unanikataa za huyo sperm donor.
Basi akamkubalia jamaa .. akamchukuwa wqkaanza kuishi wote.. jamaa ndo alikuwa kamaliza chuo .. so mda wa mwaka mzima anaishi kwa mwanamke ..mshahara anapewa apange budget na Nini na Nini... Binti akanasa ujauzito.. Wakati huo akatoa Tsh milioni 3 jamaa apatiwe kazi kinyemela...
Jamaa haukupita mwezi kapata kazi ..mda wa kwenda kujitambulisha ili kuepuka matatizo ya ujauzito jamaa akaruka kuwa mimba siyo yake...
Just imagine kwenye familia ambayo Watoto wote 7 wakike wameolewa kwa Harusi binti akatia doa ...Baba yake hakumtupa .. kikao kikawekwa jamaa kapigiwa simu akawa anatoa matusi Kwamba hawezi zaa na Mtoto wao ..
To cut this story ni kwamba baada ya miaka mi2 kupita binti akaolewa ..kusikia hivyo hivyo mshenz akataka kurudisha majeshi na Tayari ameoa ..mara atake kuharibu ndoa, Akaulizwa Mtoto si ulimkataa na matusi juu pita hivi ..kuzidi kuleta chokochoko akaundiwa kesi Akaswekwa ndani miezi mitatu ... Alivyorudi heshima debe .
Mwanamke na mumewe mpya wakahama mkoa.
Ninawaheshimu Sana single Mama's.

NAWAPENDA PIA SINGLE MOTHERS… [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]. Najua wapo wanasoma hizi comments na wanaogopa kutoa neno ila mjue tu tunawapenda sana na kuwaoa tutawaoa. I love you guys, wako vizuri sana.
 
ni LAZIMA kwakua mtoto atataka malezi ya baba yake ' OG ', mtoto atataka kuongea na baba yake 'OG'

mtoto anataka kwenda kumuona baba yaje 'OG' mara moja moja, mama yake lazima ampeleke

wanapasha kiporo ukouko, papuchi inachakatwa, kisha inapigwa maji saafi kabisa, akirudi wewe mshika pembe wala hujui nini kimetokea
Huo ulazima umeuseka wewe mkuu...
Mwanaume kama hupo Imara hausimamii uanaume wako kwenye hiyo ndoa Lazima hayo Mambo yatakuwa lazima.
Nina ndugu wameoa single Mama's once mwanamke ameolewa Mtoto anakuwa Ni wa kwetu rasmi.. Malezi yote yanatoka kwetu.. Kama Ni mdogo anabadilishwa na jina... Habari ya huko ukubwani kwenda kwa baba yake atajua mwenyewe.
To err is human.
Huu msemo tunaishi nao Sana kwenye familia yetu
 
kalaga bao
 
unaongea kinadharia sana, pengine hujawai date(au oa) singo maza na kuona mziki wake

singo maza ni pasua kichwa

Nime date nao wengi tu, sijawahi kuwa na expérience mbovu kama ya hawa tunawaita hawajazaa. Hawa ambao hawaja zaa, Kutoa mimba na kuwa na Mabwana wengi ndio sifa yao hiyo. Ninawaomba vijana wenzangu wa kiume, tuliangalie kwa namna nyingine. Hizi shutuma mnazozitoa si kwa single mothers bali kwa Mwanamke Mshenzi na Mjinga ndio utaona hayo. Mwanamke anayejua nafasi yake na wajibu wake huwezi sikia au hangaika na utopolo wa hivyo. Na katika wasichana wa age ya 25 hadi 30. Ukamkuta ni single mother asee utakuwa umepata Jiko sio kijiko. Jaribu kutafiti, achana na hear says.
 
Huo ulazima umeuseka wewe mkuu...
Mwanaume kama hupo Imara hausimamii uanaume wako kwenye hiyo ndoa Lazima hayo Mambo yatakuwa lazima.
Nina ndugu wameoa single Mama's once mwanamke ameolewa Mtoto anakuwa Ni wa kwetu rasmi.. Malezi yote yanatoka kwetu.. Kama Ni mdogo anabadilishwa na jina... Habari ya huko ukubwani kwenda kwa baba yake atajua mwenyewe.
To err is human.
Huu msemo tunaishi nao Sana kwenye familia yetu

To err is human [emoji122][emoji122]
 
HUYO single mother KAJITOMB** mwenyewe??....tatizo mkioa hamji kusema......pumbafuuuuu

Unakuta anayesema hawezi kuoa single mother ndio aliyemto**ba. Watu wamelishwa matango pori na wamechezewa akili sana ndio maana unaona hapa wanalalama oooh mara single mother yuko hivi au vilee. Ni sisi wanaume ndio tuliowafanya wao kuwa single mothers lakini sisi wenyewe tunawakataa…! Duuh kazi ipo sana
 
Ninaposhndwa n pale singo mama anapokuforce umsomeshe mwanae shule za kupanda mabasi,wakati huo wew bado unajtafuta

Siwezi amini kitu kama hiki Mkuu, anakulazimisha kivipi yaani ?? Kwa nini akulazimishe labda ? Kutakuwa na tatizo mahali huko nyuma wakati mnaanza kufahamiana
 
Lakini kuna neno kwenye biblia lilishatuonya kwamba ,TUIKIMBIE ZINAA usingekuta haya mambo ya blah blah za single mothers n.k. lakini sisi binadamu ni vichwa ngumu hatuelewi yaani .
Hizi ligi za kusema sijui single mothers tuoe ,dah hapana kwa kweli. Nasema hivyo mimi nikiwa ni mfano wa mtoto niliyelelewa na single mother.kuna mambo fulani fulani yameniathiri kisaikolojia kutokana na kulelewa na mzazi mmoja.
Na pia hata ukisema unaoa single mother je wewe unadhani wale watoto ulio wakuta naye utawapenda kama wa kwako? Hapo tayari ni tatizo kwa kuwa mizani ya upendo haita balansi kwa watoto.hilo ni tatizo la kisaikolojia ambalo litagharimu kizazi chako for many years to come .
Binafsi single mother hapana aisee.
Kama nataka familia (kama ni lazima) nitaenda kwenye vituo vyao kulelea yatima.
Na kama ni uhitaji wa ngono itabidi niende sehemu zao specific lakini sio single mother ..
Single mothers wanapandikiza chuki mbaya sana kwa watoto kiasi kwamba inakuja kuleta shida sana baadaye kwenye familia hadi ukoo.

That is very subjective matter, not all of them. Polee kwa uliyopitia, lakini kuwalea watoto wa Mke wako inawezekana tu. Kikubwa muelewane au umpate mwanamke sio vijanamke vilivyozoea kuishi kwa kudanga. Matendo ya mama mtu kwa mume yanawezakuwa ndio sababu ya hayo uliyoyapitia.
 
Back
Top Bottom