Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?


‘ Eti thanks mom kunilea na kunipa mahitaji yote ‘ haha [emoji23]. Hizi ni komment za mademu hasa hasa na wavulana ambao ni hamnazo. Tuendelee kuwaza vizuri tu wakuu wapo watu humu wamelelewa vizuri na mama zao waliwalea vyema kiasi kwamba hawezi kupuuza mchango wa Baba wa kufikia. They’re all not the same, let’s not be conclusive
 

@dronedrake Aione hii.
 
Sawa bwana tafuta single mother na wewe uoe then ndo uje utuambia!
Sio unatoa Hotuba wee alafu unadeal na mabinti

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu nimewahi kuwa nao single mother kwenye mahusiano, ila sikuwa bado tayari kuwa na familia. Nikikpta sasa hivi naoa.
 
We unaonekana umepata singo maza Sasa unajifariji subiri yakukute utautoa ushuhuda wewe mwenyewe hata kama siyo hapa JF utaenda kuwa shuhuda kwa wengne huko mtaani

Siwezi kuwa hivyo, nina amini ya kuwa watu hawafanani na sitegemei watafanana na hawa single mother wana madhaifu yao kwani wanawake walewale tulioa au tunaotarajia kuoa tofauti moja tu..! Single mother walitangulia kupata mtoto kabla ya kuwa kwemye ndoa au makubaliano rasimi ya kuishi pamoja.
 

Hujanishawishi…!
 
Hayo mambo ya kuanza mpira wakati ushafungwa haipo mkuu. Umeoa leo tu siku mbili mbele unaanza majukumu ya kulea mama na mtoto wake.
Bora niwe single daima kuliko kuoa single mother.

Waza kuhusu dada ako hapo nyumbani, waza kuhusu binti yako utakaye mzaa na waza pia juu ya demu wako uliyempiga dudu naye akashika ujauzito…! Hivi unakaa wapi katika hizi nafasi. Wengi wenu mnaokataa kuwaoa single mothers mna watoto nao tayari sijui shida iko wapi.
 

Achana na international step dad..! Wewe kama wewe unatokaje hapo ?
 
Kama na wewe umetelekeza mtoto jiandae kulimwa vichwa. Kuwa baba wa mtoto sio kuweka tu mbegu na kuacha mwanao alelewe kwa jasho la wanaume wenzio.

Ni ufala sana yaani, unaweka mbegu tu nakuondoka walee wengine [emoji3][emoji3]
 

Ndoto za kuwa tajiri zipo sana mkuu..! Hata single mother anaweza nifikisha huko na kuna watu wametajirika walioa single mother sasa wewe unaniambia nini ??
 
Nikwel Nina single mother kaniambia Baba mtoto wake kamtelekeza na mtoto na shangaa namba zake anazo na wanawasiliana

Anazo ndio kwa sababu wana mtoto naye, kama siku moja akili ya huyo mwenye mtoto ikamrejea atajirudi na pia kuwa na namba ya Baby dad wake haimanishi anapiga mbunye mzee..! Namba za simu ni kwa ajili ya mawasiliano tu mengine tunayoyaweka tunachanganya sisi wenyewe
 
"Mwanamke aliye na mtoto na hana mume "

Unamaanisha nini? Huyo mtoto kampataje? Labda kama mume wake awe ameshafariki na hapo tunaongelea mama mtu mzima kabisa.

Kiufupi tu mkuu huyo mwanamke halali yake ni huyo aliyemjaza mimba.

Fikiria tena na tena Mkuu. Ahsante kwa mchango wako
 
Kwahiyo wewe kipimo cahko cha mwanamke bora ni kuwa Single Mother? Hujitambui

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti sijitambui. Wewe tulia hapo hapo, kuwakubali single mothers haimanishi kigezo cha Mke bora ni kuwa single no no. Nawakubali single mothers kwa sababu ya uzoefu wangu mkuu ndio unaniambia hivyo..!
 
Kabisa yaaani [emoji3][emoji3][emoji3]

Kwani mademu zenu hawapashi viporo na ex zao ?? Acha kujichetua chetua mkuu. Viporo vitapashwa iwe upo hai au umekufa, iwe unahudumia au huhudumii. Kinachobakia ni kichwa ya Mwanamke basii
 
Hahahhah wewe ni mjanja sana kwani ukisema unaishi ma single mother utapungukiwa na nini

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Kwani ni laana kuwa na Single mother ? Ila watamu sana hawa watu na wanajua kumhandle mwanaume. Nimewala sana na ninawapenda ila kwa sasa nina mdada hajazaa ila anakaumri kazuri tu hivi yaani
 

So ukiona mapungufu ya mtu tayari utaomba muachane ama vipi ??
 

Soul tie is a hoax.! Endelea kujidanganya
 
Aisee!

Mnapotamani kuoa single mother kuweni makini sana.

Kuna jamaa anataka kujitwisha zigo. Anataka kumuoa mdada mwenye watoto watatu. Kila mtoto na baba yake. Bahati nzuri watoto haishi nao.

Na mahari kalipia, nipo nae kazini.

Ila siku anaambiwa ampeleke mwanaume nyumbani akatambulishwe, ana danga lake moja. Akala mzigo alafu akaenea nyumbani kwao mkoani.

Sasa kwa hali hiyo, jamaa atakufa kwa presha.

Single mother ni wa kuwatumia tu. Waliowazalisha watawaoa. Au nawe mjaze muache. Lea mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…