Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?


Love [emoji3590]
 
Wewe waowe mtu unamueshimisha amezalishwa unamlelea mwanae unamsomesha bdye mtu anakuja kukuacha kisa aliyezaa naye kasema anataka kuishi nayee aisee mkuu Acha kabisa

Ni kwambie kitu kwamba, hawa single mother hawafanani tabia wala malezi mkuu, uliyepitia mgumu ni wewe ni Bahati mbaya. Wapo akina dada wapo vizuri sana na wapo akina dada waliopasua kichwa.
Nikupe mfano huu.! Kuna mwanangu mmoja alizaaga na binti mmoja na pia familia yao ilikuwa inafahamu au inawafahamu kama wanandandoa watarajiwa lakini baadae huyu dada ambaye walizaa naye alimuacha jamaa akaemda kuolewa na jamaa akinuacha huyu waliopata mtoto naye. Hadi leo huyu jamaa yupo na mtoto..! Haya niulize swali, je huyu mwanaume hatakiwi kuoa kwa sababu anamtoto tayari aliyezaa na mwanamke mwingine ??
Washikaji acheni hizo [emoji41]
 
Tatizo wakikutana na waliowazalisha uwa wanawapa papuchi.. Masikini hana msimamo

Nimepewa papuchi naiachaje Mkuu, yule ni mwanamke kama mwanamke mwingine. Bado mtamu kama mwanamke mwingine ambaye hajazaa tu, nikiamua kumuoa huyu sio mbaya kikubwa niwe nimemielewa naye kanielewa lakini siwezi kusema eti single mother blah blah…! They are just women with sweet apples in between, nitaoa nikipata single mother ila siwezi watamkia Maneno mabaya kabisa
 

Kama ulianza vizuri ila umemaliza vibaya sanaaa tena vibaya sana.[emoji41]
 
Moderators futeni hizi nyuzi za single mothers, huu ni ukatili mwingine wa kijinsia,
Walotaka single mothers watoe hizo mimba kama wanavyowatolea wanaodate nao?
Na je vipi single mothers ambao ameolewa akazaa mtoto mumewe akafariki,Na je vipi single mother ambaye alikuwa na mwanaume akamtesa akashindwa kuvumila mateso, unyanyasaji, usaliti, muda mwingine hata kumfumania, akaamua kumuacha akuishi mwenyewe?, Hapa kuna mambo mengi tusiwa judge hawa watu, na nyuzi zinazogusa hisia za watu siyo nzuri kuzianzisha, Mm nipo kwenye jamii mwanamke kuwa single mumy 97% wamepitia mambo mengi magumu sana, Haya mambo yapo sana hata walioko kwenye ndoa halali wanawake wanaoteswa wanaamua kulipa visasi kwa kuletea, watoto haramu ndani, wanaume msijisifu sana tumeoa bila bila chunguzeni pia ndoa zenu ndani, bora huyo single mother aliyeamua kuachana na mteso akaondoka, kuliko aliyeamua kulipa kisasi ndani ya ndoa.
 

Kuna nani kamdharirisha nani ?? Acha kuwa ufeminist wa kijing, wedada na mbinafsi. Tupo tunajadili na watu wanatoa michango yao, na lengo kubwa kusaidia kimawazo juu ya mitazamo hasi.
Wanaozungumziwa hapa ni wale ambao ana mtoto kabla ya kuwa kwenye ndoa., amepata mtoto na mtu wakati mahusiano ila hawakuoana. Tupo hapa tunashauriana na kubadilishana mitizamo hasi juu ya dada zetu ambao wana watoto tayari lakini jamii ya vijana wengi wanakuwa na maneno ya kusema hawezi kuoa..!? Kuna mtu kamtukana mwanamke au lah.! Watu wanatoa maoni kulingana na uzoefu wao.
Acha kuwa mbinafsi sana we dada. Nani kadhalilishwa au ndio unataka kuwadhalilisha dada zetu ?? Nyie ndio mnasemaga watoto wadogo wasifundishwe mambo ya Mahusiano hasara na faida zake kisa tu hajafikia umri au mdogo kusikia hayo. We are here to help each other. Watu wako negative sana sasa tunajaribu kuambizana. Wadada ambao wanaguswa hapa ninkama yeye albda ndio anakosa mahali lakini kupitia kufahamu hilo anajirekebisha finally we need a peaceful community nothing else. Jitahidi kuona mazuri sio mabaya tu.
 
Mimi naona sio vibaya kuoa mwanamke aliezalishwa tu kwao...tatizo ni kuoa mke aliyeachika kwenye ndoa yake ya mwanzo
 
Mimi naona sio vibaya kuoa mwanamke aliezalishwa tu kwao...tatizo ni kuoa mke aliyeachika kwenye ndoa yake ya mwanzo

Usiishie hapo, unapswa kujua aliachika kwa sababu zipi ?
Kuna sababu ambazo hata dada yangu siwezi mlaumu akiachika
1. Ndoa ambayo ilikuwa imejaa unyanyasaji ikiwemo vipigo, sikubaliani na unyanyasaji wa aina yoyote kwa dada au mwanamke yoyote.
2. Ameachika kwa sababu ya zenye kukaribiana au kufanana na ya Juu. Sikubali kuona mwanamke yoyote ananyanyaswa kusema ukweli iwe ni Matendo au kihisia.

Nikipata mwanamke ameachika kwa sababu amechoka manyanyaso ikiwemo vipigo na kadharika mimi naoa, kwa sababu mimi sipendi na sitapiga mtoto wa mtu. Tukishindwana tunaachana kwa Amani maisha yaendelee
 
Fikiria tena na tena Mkuu. Ahsante kwa mchango wako
Nifikirie nini? Unataka nifikirie unachotaka wewe? Mwanamke aliyepata mtoto bila ndoa tena bila kubakwa au kulazimishwa huyo aolewe na aliyempa mimba/kumzalisha hakuna jinsi .

Tena unajisifia kabisa dada zako wamezalishwa na majamaa bila ndoa mkuu hebu aibu nyengine ficha ndiyo maana wanaume tukawa na vifua maana tunaweza kuficha siri nyingi .

Ilikuwa haina haja ya kuwataja dada zako kwamba wamezalishwa bila ndoa halafu kuwasifia kinafiki kwamba wanapambana ,we unadhani wangekuwa wameolewa ungepata muda wa kuandika hii thread?

ALIYEZALISHWA KWA KUTAKA MWENYEWE BASI HALALI YAKE NI ALIYEMPA MIMBA .
 
HAMISA kazaa, hivi unaweza mkataa?
 
umenena vyema kaka
 
umesoma comment ukaielewa kweli?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Kwani ni laana kuwa na Single mother ? Ila watamu sana hawa watu na wanajua kumhandle mwanaume. Nimewala sana na ninawapenda ila kwa sasa nina mdada hajazaa ila anakaumri kazuri tu hivi yaani
Wewe "dogo" usione huku ni Fb kuna baba zako huku labda una andika for fun! soma ulicho andika na hasa sentesi yako ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…