Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
- Thread starter
-
- #41
Wanawake walio zaa wengi wao wametulia , na wapo ambao hawajatulia vile vile pia
Wanaolewa sana single mother kuliko hivi vinchenchede vya mtaaniTuwazungumzie hawa waliotulia, don’t they deserve marriage? They deserve it. Twendeni na hawa waliotulia mkuu.
Single mother wengi hawajitambui labda wale waliogongwa na maisha vizuri[emoji851][emoji851][emoji851]!!!Hawa single mother ambao wamekumbatia usista duh wengi ni wadangaji ila wanataka waonekane ni super women!
Hebu muoe wewe kwanza huyo single modher harafu Uje Utupe Mrejesho.
Mtaoa tu lakini sababu mpaka kufikia 2030 hamna demu ambaye atakuwa hana mtoto kabla ya kuanza chuo kikuu
Single Maza muda wowote anaweza kurudiana na mzazi mwenzie mtoto ni kiunganisho mana baba kama anahitaji kuonana na mtoto wake ita bidi ampeleke
Misiba imetokea mkeo itabidi afike
Wewe umeoa singo maza?
Tuanzie hapo kwanza
Umeongea vizuriSio wote walikuwa wanadate na married men Mkuu, angalia kwa jicho jingine utaona uzuri wa hawa viumbe . Kuna wengine humu wameshazalisha mtoto wa mtu still mtu anakua na guts za kusema maneno hayo, sio poa wakuu.
I rest my case here[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mtoa mada ni Single Mother
Waliotulia wana alama gani mkuu?Tuwazungumzie hawa waliotulia, don’t they deserve marriage? They deserve it. Twendeni na hawa waliotulia mkuu.
Umeongea vizuri
Hujakuwa ukikua utajua kwanini hilo ni tatizo
I rest my case here[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Waliotulia wana alama gani mkuu?
Kitabu kitakatifu sharti la kwanza kuliko lote ni kuoa mtu unayempenda sio unayemuhurumia. Single mom haolewi kama baba mzazi yupo hai
Shida si kuwaoa, shida ni unaweza kuwavumilia changamoto zao?