GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.
Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90% ya wana Simba SC na 10% tu ndiyo wawe wana Yanga SC hivyo kama unaujua na ungetamani Kesho kukaa Meza / Benchi moja na GENTAMYCINE wa JamiiForums tafadhali nitajie tu huo Ukumbi ili nijipange nije.