Kwa wale wa Dar es Salaam nitajie Ukumbi usio na Yanga wengi Kesho nije tuiangalie Simba yetu pamoja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.

Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90% ya wana Simba SC na 10% tu ndiyo wawe wana Yanga SC hivyo kama unaujua na ungetamani Kesho kukaa Meza / Benchi moja na GENTAMYCINE wa JamiiForums tafadhali nitajie tu huo Ukumbi ili nijipange nije.
 
Popoma bana, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
haupo huo ukumbi kama ambavyo haupo ukumbi wenye simba wengi bila yanga
 
Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.

Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90% ya wana Simba SC na 10% tu ndiyo wawe wana Yanga SC hivyo kama unaujua na ungetamani Kesho kukaa Meza / Benchi moja na GENTAMYCINE wa JamiiForums tafadhali nitajie tu huo Ukumbi ili nijipange nije.
Njoo Kimbangulile Arena.
 
Kumbi nyingi michoso tu, Kuna kumbi zngn unakuta watu wanakunywa taratibu na mpira unaendelea kuchezwa hata goli likifungwa huskii kelele.... Zinakuaga unyama sana mara nyingi napendelea kuangalia mpira humo hasa game ambazo probability ya team yangu kushinda ni ndogo
 
Back
Top Bottom