GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Popoma bana, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.
Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90% ya wana Simba SC na 10% tu ndiyo wawe wana Yanga SC hivyo kama unaujua na ungetamani Kesho kukaa Meza / Benchi moja na GENTAMYCINE wa JamiiForums tafadhali nitajie tu huo Ukumbi ili nijipange nije.
haupo huo ukumbi kama ambavyo haupo ukumbi wenye simba wengi bila yangaKumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.
Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90% ya wana Simba SC na 10% tu ndiyo wawe wana Yanga SC hivyo kama unaujua na ungetamani Kesho kukaa Meza / Benchi moja na GENTAMYCINE wa JamiiForums tafadhali nitajie tu huo Ukumbi ili nijipange nije.
Njoo Kimbangulile Arena.Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.
Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90% ya wana Simba SC na 10% tu ndiyo wawe wana Yanga SC hivyo kama unaujua na ungetamani Kesho kukaa Meza / Benchi moja na GENTAMYCINE wa JamiiForums tafadhali nitajie tu huo Ukumbi ili nijipange nije.
Mademu pia wako Wengi au ni nyie Ndume tu?Njoo Kimbangulile Arena.
Wapo kama wote si unajua huku ni lango la kutokea kusini.Mademu pia wako Wengi au ni nyie Ndume tu?
Habari Njema sana hi Kwangu. Naweza kuja Mkuu.Wapo kama wote si unajua huku ni lango la kutokea kusini.
Karibu sana mkuu, ila huku beer ni safari lager tu.Habari Njema sana hi Kwangu. Naweza kuja Mkuu.
Sinywagi Beer Mkuu na Siipendi pia ila Kilevi changu Kikubwa ni Mbunye ( alias ) K.Karibu sana mkuu, ila huku beer ni safari lager tu.
Aaah huku za umwaga aka kama zote.Sinywagi Beer Mkuu na Siipendi pia ila Kilevi changu Kikubwa ni Mbunye ( alias ) K.