Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Je, unafahamu sehemu inayoitwa Mama John?

Mwili wa John hatimaye umesafirishwa kuelekea Kijiji Cha Lugombo kata ya Mwaya wilaya ya kyela kwaajili ya Mazishi.

Atazikwa karibu na mama yake mtu maarufu mama John. Historia imemaliza mwendo Apumzike salama KAMANDA.

Walaaniwe walioudhulumu uhai wako vizazi vyote vitamtaja mama yako MAMA JOHN!
 
Mama John ni kituo cha daladala kwa wale wasioelewa kiko mkoa wa mbeya nadhani kituo kinachofuatia pale ni ccm hivo Mama john alishafariki lakini na huyo john ndio huyo kafariki, mtoa mada kafafanua kua watatajwa milele kwa kua kituo kitabaki miaka yote
 
Ilkuahe mpk kikairwa hvyo wadau, mnasahau sio wote wenyeji wa huko
 
Huyo Mama John alikuwa mwanasiasa maarufu hadi kituo cha mabasi kuitwa jina lake??

Rest easy John
 
Huyo Mama John alikuwa mwanasiasa maarufu hadi kituo cha mabasi kuitwa jina lake??

Rest easy John
Mhh Kuna tetesi eti aliuza gongo muda mrefu na hakuwepo wa kumkwamisha sijui Kama kweli au story
 
Hebu elezea kidogo huyo mama alikufa mwaka gani sababu ya kifo na shuhuli aliyofanya kumuingizia kipato.
Kulikua na kilabu cha pombe za kienyeji kimpumu hapo nyumbani kwake miaka ya 90 ndio kikampa umaarufu ila kifo chake sikumbuki mwaka gani Mkuu ni muda kidogo umepita ni ile upo mtaani unaambiwa habari ya msiba ulio mbali nawe unabaki kujua na kuendelea na shughuri zako ila inaonekana walikua watu wema sana yaani kutokana na shughuli ya mama alifahamiana na watu wengi sana
 
Back
Top Bottom