Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

Mama John ni kituo cha daladala kwa wale wasioelewa kiko mkoa wa mbeya nadhani kituo kinachofuatia pale ni ccm hivo Mama john alishafariki lakini na huyo john ndio huyo kafariki, mtoa mada kafafanua kua watatajwa milele kwa kua kituo kitabaki miaka yote

Kituo kipo mjini Mbeya, siyo mkoa wa Mbeya.
 
Je, unafahamu sehemu inayoitwa Mama John?

Mwili wa John hatimaye umesafirishwa kuelekea Kijiji Cha Lugombo kata ya Mwaya wilaya ya kyela kwaajili ya Mazishi.

Atazikwa karibu na mama yake mtu maarufu mama John. Historia imemaliza mwendo Apumzike salama KAMANDA.

Walaaniwe walioudhulumu uhai wako vizazi vyote vitamtaja mama yako MAMA JOHN!
Poleni sana. John alikumbwa na nn?
 
Kituo kipo mjini Mbeya, siyo mkoa wa Mbeya.
Alipotoa maelezo Kituo kipo Mkoa was Mbeya anatoa ufafanuzi kwa watu mbalimbali ambao wanasoma hapa jf
Mtu ambae Yuko sehemu yoyote ya Tz au nje ya Tz anaweza kuelewa vizuri akiambiwa mkoa w Mbeya na sio neno Mbeya mjini
Kuna mtu ukimwambia Mbeya mjini hawezi kuelewa ndio kitu gani
Lakini ukisema mkoa was Mbeya anaelewa
Kuna mtu ukimwambia madale heelewi lakini ukisema madale iko mkoa w dsm ataelewa
So acha ushamba
 
Kwani chalamila kichwa kama mbegu ya ubuyu anasemaje
 
Umeandika kama vile wote tunatokea huko Mbeya.
 
Back
Top Bottom