mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Nasikia alikuwa mlinzi na amuuwawa tuu usiku wa leo hakuna habari zaidi. Ila ndiye John anaye tajwa kituo Cha mama JohnNini kilimkuta huyo John ? Jazia jazia nyama basi sio wote tunamjua John au mama yake lakini kituo cha mama John tunakifahamu.....si hapo kabla ya Sai?
Pesa zitusumbue na mafumbo yatusumbue
Ilkuahe mpk kikairwa hvyo wadau, mnasahau sio wote wenyeji wa hukoMama John ni kituo cha daladala kwa wale wasioelewa kiko mkoa wa mbeya nadhani kituo kinachofuatia pale ni ccm hivo Mama john alishafariki lakini na huyo john ndio huyo kafariki, mtoa mada kafafanua kua watatajwa milele kwa kua kituo kitabaki miaka yote
Jamani nimecheka khaaaaπ€£π€£π€£π€£Pesa zitusumbue na mafumbo yatusumbue
Hebu elezea kidogo huyo mama alikufa mwaka gani sababu ya kifo na shuhuli aliyofanya kumuingizia kipato.Duuh RIP John,Msiba wa Mama John nilikuepo mbeya...
SikujuaBujibuji anajua kwamba John kafariki?
Mhh Kuna tetesi eti aliuza gongo muda mrefu na hakuwepo wa kumkwamisha sijui Kama kweli au storyHuyo Mama John alikuwa mwanasiasa maarufu hadi kituo cha mabasi kuitwa jina lake??
Rest easy John
πππ aseePesa zitusumbue na mafumbo yatusumbue
Kulikua na kilabu cha pombe za kienyeji kimpumu hapo nyumbani kwake miaka ya 90 ndio kikampa umaarufu ila kifo chake sikumbuki mwaka gani Mkuu ni muda kidogo umepita ni ile upo mtaani unaambiwa habari ya msiba ulio mbali nawe unabaki kujua na kuendelea na shughuri zako ila inaonekana walikua watu wema sana yaani kutokana na shughuli ya mama alifahamiana na watu wengi sanaHebu elezea kidogo huyo mama alikufa mwaka gani sababu ya kifo na shuhuli aliyofanya kumuingizia kipato.