Mie sipo single ila ningekua namhusudu sanaBinadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu.
Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku tunabaki na maumivu yetu.
Aya mlio singo, fungukeni; mngependa kuwa na mahusiano na nani humu?
Ukiona aibu shauri yako; waswahili wanasema mficha nini sijui hazai! mtamalizia wenyewe.
Karibu kwa chat!
COCASTIC.