Kwa wale walio singo, unamtamani nani humu angekuwa mwenza wako?

Kwa wale walio singo, unamtamani nani humu angekuwa mwenza wako?

Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu.

Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku tunabaki na maumivu yetu.

Aya mlio singo, fungukeni; mngependa kuwa na mahusiano na nani humu?

Ukiona aibu shauri yako; waswahili wanasema mficha nini sijui hazai! mtamalizia wenyewe.

Karibu kwa chat!
Nakutamani wewe tena nnakutaka sanaaa
 
Back
Top Bottom