Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Mafao yakiisha itakuwaje sasa?🥰 Habari njema. Tuombeane uzima 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafao yakiisha itakuwaje sasa?🥰 Habari njema. Tuombeane uzima 🤣
Tutaona itakavyokuaMafao yakiisha itakuwaje sasa?
Bora nipambane na mwajuma ndala ndefu wangu tu, hapa sina changu 😀Sifa zitatimia zaidi ukipokea mafao😂
Mimi sipo singo kwahiyo hii mada haitihusu mimi na lifetime soul Angel Nylon nampenda mpaka ndotoniBinadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu.
Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku tunabaki na maumivu yetu.
Aya mlio singo, fungukeni; mngependa kuwa na mahusiano na nani humu?
Ukiona aibu shauri yako; waswahili wanasema mficha nini sijui hazai! mtamalizia wenyewe.
Karibu kwa chat!
Hapo kuna dalili ya mtu kupigwa chiniTutaona itakavyokua
Ni kuendelea kuwafariji wale wote walio singo waweze kutimiza ndoto zaoMimi sipo singo kwahiyo hii mada haitihusu mimi na lifetime soul Angel Nylon nampenda mpaka ndotoni
😂😂😂Bora nipambane na mwajuma ndala ndefu wangu tu, hapa sina changu 😀
Ukisoma miandiko yao, utajua IQ ya muhusika; unaweza kuanzia kwenye IQ mengine yakafuataTutamani miandiko au nini sasa maana ID hizi ni anonymous
🙏Haina shida mkuu; namuona kwa mbali anatazama uzi
Mi nakutaja wazi tu ,liwalo na liwe....Watu wapo very technical, hutawasikia wakitaja wazi, ila moyoni wanataja..teeeh!
Tatizo wewe unavizia wastaafu 😂Mleta mada mi ningemtaka @eroni,ni Mzee flan hivi mjanja
Wazee Wana mipango sanaTatizo wewe unavizia wastaafu 😂
Nishakutaja mbona JF nzima inajua,,halafu iyo kwaresma tangu tuwekeane hiyo miadi naona inakimbia Kwa Kasi ya 5G,kweli usiku wa deni haukawii kucha🙆🙆😅😅Mbona unasema "ninge", si utaje tu wajue kabisa legend..🤣🤣subiri kwanza kwaresma iishe jambo liwe jambo!🤣🤣