Kwa wale waliopunguzwa kazini (USAID na wengine)

Hili jukwaa lina kila kitu, ebu vyeti feki njooni mtoe ushauri kwa hawa watu, jinsi mlivyomudu maisha baada ya kukatiliwa mbali na shujaa Magufuli.
 
Nae muongo dola elf 80 hajawahipo kuiona aseme kwa saa ni dola 20 x 12 mara ela ya madafu bt huwezi kupata dola elf 80 kwa saa ww www using open
It doesn't matter how much he earn..

Anichukue kwakweliiii niende uko nikapambane na maisha tu..

Hapa bongo pamenichosha kwakweliiii.

Hamna ajira hatuna mitaji..shagabagara!!

Imagine Mzee wetu Wasira Bado ana roll kwenye payroll za serikali!.
 
Hili jukwaa lina kila kitu, ebu vyeti feki njooni mtoe ushauri kwa hawa watu, jinsi mlivyomudu maisha baada ya kukatiliwa mbali na shujaa Magufuli.
Upo sahihi. Kupata ushauri kwa ambae hajui maumivu yake ni ngumu
 
Na yale mashirika ya Egpae sijui nin wale wanakuwa wanadeal na watu wenye HIV vijijin na yenyewe yanafungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…