nyamalika
Member
- Apr 29, 2013
- 22
- 23
Nawakumbusha tu,usije mwambia msukuma,mkerewe au mjita siri yako...ni heri ukatangaze kwenye station ya radio!
Mmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawakumbusha tu,usije mwambia msukuma,mkerewe au mjita siri yako...ni heri ukatangaze kwenye station ya radio!
Haaaaa duuh hatariiMie nilikunya mavi kwenye kisima cha kijiji
Nishamfahamu huyo jamaa mganga mganga hiviKuna mtu maarufu humu jamii forums alinitapeli sija mwambia mtu nabaki kumcheki tu
Aiseeee.Nakumbuka ilikuwa mwaka 2000 tulikuwa border ya Mozambique na Tanzania,kunajamaa tulikutana nao Wa Tanzania walikuwa wanavuka mto Ruvuma kuingia Mozambique,mmoja wao akawa amekuja upande Wa mozambique kuja kuangalia Usafiri huku wenzake kawaacha upande Wa pili Tanzania,hawa jamaa walikuwa wakataa mbao.Basi ikawa Usafiri kakosa na giza limeingia maana kuvuka mwisho ni saa 12jioni,basi tukawa tumekaa upande Wa Mozambique ofisi za uhamiaji huku tunaota moto na kupiga stori,alikuwepo askari mmoja wanawaita guardafrontere,yaani askari Wa mpakani alikuwa amelewa ndiye aliyekuwa analinda ofisi au mwenyeji wetu,basi hawa wabongo wakapanga wakaibe mtumbwi wavuke usiku kama saa Tatu,na mvua ilikuwa inanyesha,huku askari yuko tungi amelala hajui kinachoendelea,baada ya kama nusu saa nikaona wanaludi mmoja,mmoja kimya huku wamelowa kuwauliza kulikoni?jamaa wanasema mtumbwi umepinduka wao wamejiokoa lakini jamaa mmoja mbogo amezama,ishu ikaja tumwambie askari huyu aliyelewa?nikawaambia wote tutafungwa na askari Wa mozambiki hawana dogo Maadam kafa Mwenyewe tukae kimya,basi kesho Yake jamaa waliondoka na kuniacha peke yangu nilikuwa na ishu ya kukaa kama wiki pale,kati ya wale jamaa waliondoka mmoja si akasimulia kwenye kwenye Gari alilokuwa anasafiri nalo kwamba kuna jamaa anaitwa fulani amezama Jana usiku,kesho Yake jioni ikabidi Ndugu zake waje,walipofika kuulizia kama Ndugu yao kazama,kila mtu anashangaa,mbona huku kuko shwari mpaka askari,hakuna anayejua zaidi ya Mimi,ikabidi waondoke warudi tena Tanzania, yule jamaa aliyezama alikuwa na wafanyakazi wake aliokuwa ameongozana nao,wakawa wanamsubiria nao hawajui kitu ,ilibidi serikali iingilie kati kumtafuta jamaa, walikuja kumpataa baada ya siku 10 huku na Mimi nimeshaondokaa,Siri ni kitu kinachoweza kukuokoa
Je Mukara? (kwa sauti ya Nyerere)Nawakumbusha tu,usije mwambia msukuma,mkerewe au mjita siri yako...ni heri ukatangaze kwenye station ya radio!
Kwa nini upekua siri za mtu!ndo maana sipendi kutoa simu yanguKuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita
Mimi ninazo nyingi,na zinabaki kuwa siri tu. Nyingine nimeshatubia.Binadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze
Ndo mwanaume ukubali kutoa ndogoo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mshakaji kweli au lugha ya fasihi imetumika [emoji23][emoji23]
just jockin ukata ni mbaya asee ukute jama now mambo yamekaa fresh anabak kujutia
huyo jamaa inaonekana alikuwa anatamani huo ujinga kitambo sasa akaona aisingizie shidaNdo mwanaume ukubali kutoa ndogoo..
Mimi na umaskini wangu na uanamke wangu Mara mia nidange nipate elf 5 wanangu wale kuliko kutoa tigo nipate milioni 10...!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani aandike hivi. "kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Korosho mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,Wee muhaya wacha misifa, hapo red ulitakiwa uandike Korosho sio Croatia
Ha ha ha we jamaa snitch kweli kweli [emoji23][emoji23]Mim siwezi kutunza siri, memory ya kuhifadhi data ya kichwa changu kina mambo ya msingi sana ya kuhifadhi..
Siri kesho yake unakuta nimesha sema..
Mim nilisha wahi kumwona mama na mtoto wake wa kike wanamfukia kitoto kichanga.. Usiku hawakuniona kesho yake mapema nikaenda kulisanua..
Nikaja nikumwona msichana mmoja jirani alikuwa akiishi na mdogo wake wa kike dada mtu alikuwa ni fundi wa kushona alikuwa mjamzito ila hakuna aliekuwa anafahamu hakuwa anatoka nje ya nyumba hadi siku anajifungulia nyumbani mdogo wake yupo shuleni, mtoto akamtupa chooni nikashtuka nikalisanua
Kuna jamaa mmoja alikuwa na grosary yake ya kuuza pombe, ilikuwa karibu na kituo kikubwa cha polis, kumbe nyuma yake mchizi alikuwa anauza madawa ya kulevya, wacha nije nilisanue, kumbe pimbi alikuwa na connection na askari wa pale akaja kunshtukia wacha ale sahani moja na mim, wacha nilisanue karibia kituo kizima cha polis walihamishwa na ule mkoa nikahama mazima
UwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKuna hotel flan ya wasomali hapo kariakoo inaitwa al uruba wanatengeneza eggchop ndani mayai ya plastic
Ndo sio siri tena hiyo.Binadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze