kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Nna siri nyingi hata nafsi yangu siwezi kuiambia.......
ngoja niwape siri sijui ndio mkasa.....
nina classmate wangu wa ps enzi hzo 2000's, tumeshibana sana since then! yeye baada ya kuhitim std 7 akaamua kuingia kitaa kupambana , mm nikaendelea na shule....Mungu si athuman mbishe za mchiz zilienda powa sana na hustlin za kutosha hatimae mdogo mdogo akatusua...... nikiri hata nikiwa chuo jamaa amenisapoti sana pocket money....
regardless profile zetu kielimu na kimafanikio bado tunaheshimiana sana na kusapotiana thou wote kwa sasA tuna maisha yetu japo mchiz kanizidi hatua kadhaa......
ee bhana huwa nikienda mkoa anaoishi nashukia kwake fresh....na nikiwa na mizunguko yangu huwa nachukua ndiga yake kiroho safi.....iko hivi wote hatujaoa , sa kuna siku nimeenda kwake.....ile tumeamka mchiz anarekebisha chai jikon mm nipo nafanya usafi na kupanga nguo.... ile vooop nikakutana na mguu wa mtoto(bastola) kwenye droo ya kabati...kumbuka funguo zilikuwa pale.....nilishtuka sana nikaendelea na yangu, mpaka leo sijawahi kumwambia mchizi ! mchiz ana biashara kadhaa na ni mtafutaji haswa sasa ule mguu wa mtoto sikujua lengo la kuumiliki, na hana mali nyingi kiasi cha kuhofia usalama mpaka kumiliki bastola........ still tuna mingo na kupeana michongo ila niko nae makini sana! unaambiwa kila mafanikio ya mtu kuna jambo nyuma ya pazia !