Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Baada ya kugundua jirani analiwa na jirani Alafu baadae jirani aliyeliwa anafunga ndoa nakusimamiwa na jirani aliemla.

.Binadamu kweli sio wa mchezomchezo .
Maisa is tiuy

Naisha kama penati
 
Kuna 1 namfahamu yuko na sampuli hii
 
siri nilizokaa nazo mpk leo ni mbili tu 1. Kuwa na mahusiano na mtoto wa mama mdogo tukiwa wadogo

2. Kusahau ndama wa mbuzi waliokuwa mapacha wakatumbukia shimo la choo jirani hii sitasahau maana nilivisikia vikilia chooni nikakauka. Tulitafuta sana siku hiyo na wazee wangu ilihali najua vimefia chooni..
 
Aisee siku ukija kusema kuhusu hao ndamaa itakuaa balaa
 
Nina siri nyingi, Na zitabaki kuwa siri, ndio maana zikaitwa siri.
 
Kuna utakayowahi sema na yapo ambayo hadi unaenda kaburini hautawahi simulia mtu, labda marehemu au mizimu wenzako huko makabulini, au malaika akuhoji huko ili ujitetee hapo zitafichuka vinginevyo ungali hai no
 
Reactions: a45
Ha ha ha ha labda mizumu wenzako au malaika
Kuna utakayowahi sema na yapo ambayo hadi unaenda kaburini hautawahi simulia mtu, labda marehemu au mizimu wenzako huko makabulini, au malaika akuhoji huko ili ujitetee hapo zitafichuka vinginevyo ungali hai no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…