Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Baada ya kugundua jirani analiwa na jirani Alafu baadae jirani aliyeliwa anafunga ndoa nakusimamiwa na jirani aliemla.

.Binadamu kweli sio wa mchezomchezo .
Maisa is tiuy

Naisha kama penati
 
Kuna 1 namfahamu yuko na sampuli hii
mimi nna dada yangu nae mfata kuzaliwa hadi leo hua sielewi ni mapepo ama mizimu

akiota kitu kinatokea, ananimbiaga mambo mengi kiasi huwa naogopa hata kuwa nae karibu.

amewahi ota vifo vya ndugu, bahati za watu, mimi kupata/kukosa mishe

hadi leo sijawahi mwambia mtu kama ana uwezo huo zaidi huwa naogopa hata kumuuliza maana hakawii kukwambia kwamba kuna magumu mbeleni
 
siri nilizokaa nazo mpk leo ni mbili tu 1. Kuwa na mahusiano na mtoto wa mama mdogo tukiwa wadogo

2. Kusahau ndama wa mbuzi waliokuwa mapacha wakatumbukia shimo la choo jirani hii sitasahau maana nilivisikia vikilia chooni nikakauka. Tulitafuta sana siku hiyo na wazee wangu ilihali najua vimefia chooni..
 
Aisee siku ukija kusema kuhusu hao ndamaa itakuaa balaa
 
Nina siri nyingi, Na zitabaki kuwa siri, ndio maana zikaitwa siri.
 
Kuna utakayowahi sema na yapo ambayo hadi unaenda kaburini hautawahi simulia mtu, labda marehemu au mizimu wenzako huko makabulini, au malaika akuhoji huko ili ujitetee hapo zitafichuka vinginevyo ungali hai no
 
  • Thanks
Reactions: a45
Ha ha ha ha labda mizumu wenzako au malaika

Back
Top Bottom