Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Hatari,

Baba mwenye nyumba yangu alifumaniwa ikabidi mchepuko auingize geto kwangu alafu akazuga ni demu wangu, wala sikumwambia mama huyo nilikaa kimya, alafu demu lilikuwa powa sana yan hatari mno, nilitamani niligeukie ilikuwa saa mbili usiku mama mwenye nyumba yuko safari sasa akarudi ghafla palichimbika balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…