Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Hizo zako siyo siri tena ila ya kwangu itasalia kuwa siri kiasi hata nafsi yangu haitakaa ijue
 
Mie siri ambayo nilisahau kuisema (huwa situnzi siri, hii ilitokea bahati mbaya siku mwambia mtu). Kipindi hicho nilikuwa huko Tanzania (Dar), ninaishi katikati ya mji kwenye apartment fulani hivi, sasa usiku nikaenda kula chips kwa mgogo mmoja hivi hapo hapo karibu Posta, Lahaula nikakuta ndio analetewa mafuta ya transfoma na mteja wake!

Nilizuga sijaona ili asije akanidhuru. Sikurudia tena kula chips za Mazengo, mxewuuuu
 
Mie siri ambayo nilisahau kuisema (huwa situnzi siri, hii ilitokea bahati mbaya siku mwambia mtu)
Kipindi hicho nilikuwa huko Tanzania (Dar), ninaishi katikati ya mji kwenye apartment fulani hivi, sasa usiku nikaenda kula chips kwa mgogo mmoja hivi hapo hapo karibu Posta, Lahaula nikakuta ndio analetewa mafuta ya transfoma na mteja wake!
Nilizuga sijaona ili asije akanidhuru.
Sikurudia tena kula chips za Mazengo, mxewuuuu
Duh
 
Kuna hotel flan ya wasomali hapo kariakoo inaitwa al uruba wanatengeneza eggchop ndani mayai ya plastic
 
siwezi kuja kusema tukio moja lilitokeaga _____ tareh 21 mwezi 5 mwaka 200_ na kusababisha kifo cha _____ aliyekuwa maharufu sana jijini ____

jiji lilizima baada ya taarifa za kifo cha _____ kusambaa huku ikisemekana ni majambazi ndio wamemuuwa na hawakuiba chochote

huku polisi wakisema ni tukio la ujambazi yaani hit and run kumbe hata wao hawajui ukweli

ukweli wa lile tukio ni kwamba vijana wa_____ ndio walihusika na mimi kipindi hicho nilikuwa nakaa pale_____ i used to call em bro's/uncles nao wakiniita _____ jr au dogo

walijiamini nini sijui kuongea mbele yangu nahisi ni sababu waliona ni kijana wa ____ mwenzao so siwezi kuwa a threat au one day nitawajoin Katika_____

nilikuja kugundua ilikuwa ni _____ task na ngoja iendelee kuwa hivyohivyo cha muhimu uhai tu
Huenda ninachokiwaza ni sawa kuhusu wewe.
 
Ila me ni msiri sana sitaweza kwa sasa mybe nitakuja kuwalimulia wajukuu zangu 50yrs later
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom