Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

kwenye jambo lolote huwa kuna majibu ya aina hii ...ndiyo/hapana.. kweli/sikweli

unachokiwaza kuhusu mimi majibu yake yapo hapo huenda ni kweli au si kweli since sijui ni kitu gani na ni bora kibaki kuwa siri pia
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya fasihi
 
siwezi kuja kusema tukio moja lilitokeaga _____ tareh 21 mwezi 5 mwaka 200_ na kusababisha kifo cha _____ aliyekuwa maharufu sana jijini ____

jiji lilizima baada ya taarifa za kifo cha _____ kusambaa huku ikisemekana ni majambazi ndio wamemuuwa na hawakuiba chochote

huku polisi wakisema ni tukio la ujambazi yaani hit and run kumbe hata wao hawajui ukweli


ukweli wa lile tukio ni kwamba vijana wa_____ ndio walihusika na mimi kipindi hicho nilikuwa nakaa pale_____ i used to call em bro's/uncles nao wakiniita _____ jr au dogo

walijiamini nini sijui kuongea mbele yangu nahisi ni sababu waliona ni kijana wa ____ mwenzao so siwezi kuwa a threat au one day nitawajoin Katika_____

nilikuja kugundua ilikuwa ni _____ task na ngoja iendelee kuwa hivyohivyo cha muhimu uhai tu
Aiseee
 
Hii inshu hata mi iliwahi nikuta nilionana na rafiki wa muda mrefu akanipa simu yake bahati mbaya ilikuwa hajayoka wasap nadhani alisahau ,nikasema ngoja niangalie chart moja anachart na mzungu weweeee nilitetemeka nilisikitikaa,yule mzungu anamuuliza huyu rafiki wangu wa kiume kuwa anapenda size ipi ya ub..anapenda style gani ,nikawaza kumbe watu wanaliwa halaf sasa alikuwa akiona mademu anavyowataka sasa mara niunganishie huyu ,na ni kijana mdogo kweli,nikasema simu hizi zina siri kweli
duh!! hatari
 
Nina siri siwezi isema kwa mdomo wala kwa maandishi, ila nilishatumu kwa imani yangu, siri hii nilimsimulia rafiki yangu mkubwa ali anisaidie kifedha ku coverup issue, kwa kuwa nilikuwa namuamini sana nilivyo anza tu akanikatiza kwa kusema nahijaji pesa ngapi nikaclear mambo ila huyu jamaa ambae alikuwa anajua hii siri japo kwa kiduchu sana alicha tangulia mbele ya haki. Ni rafiki pekee ambae nilikuwa nikimwambia kitu kinaishia hapo hapo.
 
Kuna siri nyingine ninazo hadi nikianza kuziwaza naogopa mwenyewe.
Watu wamekua wakijiamini Sana wakikaa na Mimi kuongea mambo yao.
Nyingine nashindwa kuzibeba hadi nakua Kama mgonjwa ila ndo inakua siri tena nashindwa kuzitoa.

Kuna muda natamani ni mwambie MTU asiongee au kufanya kitu mbele yangu sababu ananipa mzigo wa kuanza kufikiria ila nakaa tu.

Wengine nawaulizaga hivi unajiamini nini kufanya/kuongea hiki mbele yangu.
 
Back
Top Bottom