Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
daaaah hatari sana.... ila sidhani kama shida inaweza mfanya mtu akafanya hayo aliyoyafanya ila tu shida inaweza kuwa kichocheoHii inshu hata mi iliwahi nikuta nilionana na rafiki wa muda mrefu akanipa simu yake bahati mbaya ilikuwa hajayoka wasap nadhani alisahau ,nikasema ngoja niangalie chart moja anachart na mzungu weweeee nilitetemeka nilisikitikaa,yule mzungu anamuuliza huyu rafiki wangu wa kiume kuwa anapenda size ipi ya ub..anapenda style gani ,nikawaza kumbe watu wanaliwa halaf sasa alikuwa akiona mademu anavyowataka sasa mara niunganishie huyu ,na ni kijana mdogo kweli,nikasema simu hizi zina siri kweli
yaani mtu alikuwa anatamani muda mrefu tu kufanya hayo mambo sasa anaamaua kuipa shida lawama kumbe..