Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Hizo zako siyo siri tena ila ya kwangu itasalia kuwa siri kiasi hata nafsi yangu haitakaa ijue
 
Mie siri ambayo nilisahau kuisema (huwa situnzi siri, hii ilitokea bahati mbaya siku mwambia mtu). Kipindi hicho nilikuwa huko Tanzania (Dar), ninaishi katikati ya mji kwenye apartment fulani hivi, sasa usiku nikaenda kula chips kwa mgogo mmoja hivi hapo hapo karibu Posta, Lahaula nikakuta ndio analetewa mafuta ya transfoma na mteja wake!

Nilizuga sijaona ili asije akanidhuru. Sikurudia tena kula chips za Mazengo, mxewuuuu
 
Duh
 
Kuna hotel flan ya wasomali hapo kariakoo inaitwa al uruba wanatengeneza eggchop ndani mayai ya plastic
 
Huenda ninachokiwaza ni sawa kuhusu wewe.
 
Ila me ni msiri sana sitaweza kwa sasa mybe nitakuja kuwalimulia wajukuu zangu 50yrs later
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…